Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Umeweka Misimu miwili tu Mimi nimeuliza Kwa misimu mitano iliyopita.View attachment 2713405
Angalia ughali wa vikosi vyote viwili ukongwe n.k kisha useme ipi ni mnyonge wa mwenzake
Utoto Wa swali uko kwenye Nini?Mkuu maswali gani hayo ya kitoto, walikutana hivi karibuni nani kapigwa?
Mitano ya nini wakati azam alikuwa bado hahaanza uwekezaji wa maana?Umeweka Misimu miwili tu Mimi nimeuliza Kwa misimu mitano iliyopita.
Azam ya Jana ni mdebwedo hatari!!Ule mziki wa Azam wa jana angepewa Simba, sasa hivi Msimbazi kungekuwa na vilio vizito.
Uliposema Simba kongwe ulisahau na yenyewe Kuna wakati ilikuwa haina uwekezaji Wa maana?Mitano ya nini wakati azam alikuwa bado hahaanza uwekezaji wa maana?
Kwa hiyo Yanga atapeleka kilio Msimbazi? Hivi walipokutana mara ya mwisho ilikuwaje?Ule mziki wa Azam wa jana angepewa Simba, sasa hivi Msimbazi kungekuwa na vilio vizito.
Simple kabisa. Mikia ni mdebwedo kwa Azam. Jiulize Kwani mlikuwa hamtaki kuchukua kombe la Azam fideration cup nyie mikia?. Azam wakawagonga huko mtwala. Huo ndio unyonge mkubwa. Ksbb wanakunyang'anya hata kile kidogo unachokihitaji kwa nguvu. Mambo ya history sijui miaka mitano nyuma,tupa kule. Muhimu wanakugonga kwenye Jambo muhimu unalolitamaniKuna picha inajengwa na baadhi ya watu kuwa Simba ni wanyonge Wa Azam FC.
Jee Kwa misimu mitano iliyopita kwenye mashindano yote timu hizi zilipokutana, Azam wameifunga Simba mara ngapi??
Basi tuchukue Simba na Yanga mechi ya mwisho badala ya miaka mitano. Nani mnyonge? 😁Simple kabisa. Mikia ni mdebwedo kwa Azam. ... Mambo ya history sijui miaka mitano nyuma,tupa kule.
Matamanio yenu hayatatimia!!Nasemaje, nasemaje..
AZAM, wanasiimba wakiingia kwenye MFUMO jipigieni tu