Simba ni wanyonge Kwa Azam?

Simba ni wanyonge Kwa Azam?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kuna picha inajengwa na baadhi ya watu kuwa Simba ni wanyonge Wa Azam FC.

Jee Kwa misimu mitano iliyopita kwenye mashindano yote timu hizi zilipokutana, Azam wameifunga Simba mara ngapi??
 
Screenshot_20230810-103037.png


Angalia ughali wa vikosi vyote viwili ukongwe n.k kisha useme ipi ni mnyonge wa mwenzake
 
Mkuu maswali gani hayo ya kitoto, walikutana hivi karibuni nani kapigwa?
 
Kuna picha inajengwa na baadhi ya watu kuwa Simba ni wanyonge Wa Azam FC.

Jee Kwa misimu mitano iliyopita kwenye mashindano yote timu hizi zilipokutana, Azam wameifunga Simba mara ngapi??
Simple kabisa. Mikia ni mdebwedo kwa Azam. Jiulize Kwani mlikuwa hamtaki kuchukua kombe la Azam fideration cup nyie mikia?. Azam wakawagonga huko mtwala. Huo ndio unyonge mkubwa. Ksbb wanakunyang'anya hata kile kidogo unachokihitaji kwa nguvu. Mambo ya history sijui miaka mitano nyuma,tupa kule. Muhimu wanakugonga kwenye Jambo muhimu unalolitamani
 
Mr Q Kwa mujibu Wa takwimu zake za mismu miwili iliyopita hizi timu zimefungana mara moja Moja na kutoka sare mara nne.

Sasa unyonge Wa Simba unatokana na kitu Gani?
 
Nasemaje, nasemaje..

AZAM, wanasiimba wakiingia kwenye MFUMO jipigieni tu
 
Azam mnyonge sana msimu wa 20/21 mechi Tano alifungwa mechi zote.

Hatuna mjadala tena
 
Back
Top Bottom