Ganda Mweri
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 303
- 887
hapo namba 6 nakukataliaHaya YOTE niliisha yasema kiufundi.
1. NILISEMA Simba walitakiwa kumbakisha Kakolanya, au watafute Golikipa wa kigeni.
2. Simba hakuna Beki wa kushoto, wakashindwa Hadi kwa YAHAYA Mbegu.no
3. Simba Hakuna Beki wa kumchallange Inonga au Malone endapo wakishuka kiwango, WAKIUMIA au wakiwa na ADHABU.
4.TATIZO KUBWA LA SIMBA NI HAPA KATIKATI KWENYE KIUNGO MKABAJI NO 6. CDM.
NGOMA ANGEKUWA NA BANGALA SIMBA INGECHEZA FAINALI.
Mzamiru ndio hatimizi wajibu wake vizuri, badala ya kupokonya mipira yeye ndio anapokonywa.Simba wamejaza Mawinga bila kuwa na kiungo mkabaji
Makosa Lazima yatokee kwa Mabeki.
Hakuna kiungo WA MAANA WA kuweza kuilinda ukuta ( Back 4)
Viungo wote WA Simba ni BOX TO BOX.
wanaacha nafasi Yao wanapanda juu na kuacha Mabeki wakiwa One against One na Mabeki.
Katikati panapitika mno.
Kanute na mzaminu ni njia
Ucheze fainali kwa forward ya Kibu Denis na Boko? acha masihara.Haya YOTE niliisha yasema kiufundi.
1. NILISEMA Simba walitakiwa kumbakisha Kakolanya, au watafute Golikipa wa kigeni.
2. Simba hakuna Beki wa kushoto, wakashindwa Hadi kwa YAHAYA Mbegu.
3. Simba Hakuna Beki wa kumchallange Inonga au Malone endapo wakishuka kiwango, WAKIUMIA au wakiwa na ADHABU.
4.TATIZO KUBWA LA SIMBA NI HAPA KATIKATI KWENYE KIUNGO MKABAJI NO 6. CDM.
NGOMA ANGEKUWA NA BANGALA SIMBA INGECHEZA FAINALI.
Mkuu, kama hapo wamepigwa je kwa kuwategemea akina Kibu, Saido na Bocco hapo vipi?Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.
Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa.
Sasa hapa Simba inatapambana na Timu za daraja la kawaida kabisa, huko Super Ligue na Champion league sijui itakuaje. Kiufupi huyu jamaa sio mmbaya sana lakini naona kwa level za Simba Bado sana.
Hawa watangazaji wanatoa sifa za kijinga tu eti electrical fence, kumbe ukuta wa makuti tu.
Ni ngumu kutoboa kwa kweli, yule kocha anamuona kibu na bocco ni bonge ya mastraika.Mkuu, kama hapo wamepigwa je kwa kuwategemea akina Kibu, Saido na Bocco hapo vipi?
Mayele hakuwahi kuwa msumbufuKusema kweli Che Malone akipata fowadi msumbufu kama alivyokuwa Mayele, ndipo wote tutakapomuona hafai
Naunga mkono hojaYaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.
Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa.
Sasa hapa Simba inatapambana na Timu za daraja la kawaida kabisa, huko Super Ligue na Champion league sijui itakuaje. Kiufupi huyu jamaa sio mmbaya sana lakini naona kwa level za Simba Bado sana.
Hawa watangazaji wanatoa sifa za kijinga tu eti electrical fence, kumbe ukuta wa makuti tu.
Alikuwaje? Maana juzi nilikuwa naangalia marudio ya mechi ya Ngao ya Jamii mwaka jana niliona alivyowasumbua akina Inonga na Ouattara na akafunga 2 utasema hakuwa msumbufu?Mayele hakuwahi kuwa msumbufu
Hakua msumbufu alikua mfungajiMayele hakuwahi kuwa msumbufu
Alikuwa mfungaji Wa kawaida sana ila staili yake ya kushangilia ndiyo ilimpa umaarufu toka Kwa Wana Gongowazi.