Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

Ganda Mweri

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
303
Reaction score
887
Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.

Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa.

Sasa hapa Simba inatapambana na Timu za daraja la kawaida kabisa, huko Super Ligue na Champion league sijui itakuaje. Kiufupi huyu jamaa sio mmbaya sana lakini naona kwa level za Simba Bado sana.

Hawa watangazaji wanatoa sifa za kijinga tu eti electrical fence, kumbe ukuta wa makuti tu.
 
Haya YOTE niliisha yasema kiufundi.

1. NILISEMA Simba walitakiwa kumbakisha Kakolanya, au watafute Golikipa wa kigeni.

2. Simba hakuna Beki wa kushoto, wakashindwa Hadi kwa YAHAYA Mbegu.

3. Simba Hakuna Beki wa kumchallange Inonga au Malone endapo wakishuka kiwango, WAKIUMIA au wakiwa na ADHABU.

4.TATIZO KUBWA LA SIMBA NI HAPA KATIKATI KWENYE KIUNGO MKABAJI NO 6. CDM.
NGOMA ANGEKUWA NA BANGALA SIMBA INGECHEZA FAINALI.
 
Simba wamejaza Mawinga bila kuwa na kiungo mkabaji

Makosa Lazima yatokee kwa Mabeki.
Hakuna kiungo WA MAANA WA kuweza kuilinda ukuta ( Back 4)

Viungo wote WA Simba ni BOX TO BOX.
wanaacha nafasi Yao wanapanda juu na kuacha Mabeki wakiwa One against One na Mabeki.

Katikati panapitika mno.
Kanute na mzaminu ni njia
 
2. Simba hakuna Beki wa kushoto, wakashindwa Hadi kwa YAHAYA Mbegu.no

3. Simba Hakuna Beki wa kumchallange Inonga au Malone endapo wakishuka kiwango, WAKIUMIA au wakiwa na ADHABU.

4.TATIZO KUBWA LA SIMBA NI HAPA KATIKATI KWENYE KIUNGO MKABAJI NO 6. CDM.
NGOMA ANGEKUWA NA BANGALA SIMBA INGECHEZA FAINALI.
hapo namba 6 nakukatalia
 
Simba wamejaza Mawinga bila kuwa na kiungo mkabaji

Makosa Lazima yatokee kwa Mabeki.
Hakuna kiungo WA MAANA WA kuweza kuilinda ukuta ( Back 4)

Viungo wote WA Simba ni BOX TO BOX.
wanaacha nafasi Yao wanapanda juu na kuacha Mabeki wakiwa One against One na Mabeki.

Katikati panapitika mno.
Kanute na mzaminu ni njia
Mzamiru ndio hatimizi wajibu wake vizuri, badala ya kupokonya mipira yeye ndio anapokonywa.
 
Haya YOTE niliisha yasema kiufundi.

1. NILISEMA Simba walitakiwa kumbakisha Kakolanya, au watafute Golikipa wa kigeni.

2. Simba hakuna Beki wa kushoto, wakashindwa Hadi kwa YAHAYA Mbegu.

3. Simba Hakuna Beki wa kumchallange Inonga au Malone endapo wakishuka kiwango, WAKIUMIA au wakiwa na ADHABU.

4.TATIZO KUBWA LA SIMBA NI HAPA KATIKATI KWENYE KIUNGO MKABAJI NO 6. CDM.
NGOMA ANGEKUWA NA BANGALA SIMBA INGECHEZA FAINALI.
Ucheze fainali kwa forward ya Kibu Denis na Boko? acha masihara.
 
Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.

Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa.

Sasa hapa Simba inatapambana na Timu za daraja la kawaida kabisa, huko Super Ligue na Champion league sijui itakuaje. Kiufupi huyu jamaa sio mmbaya sana lakini naona kwa level za Simba Bado sana.

Hawa watangazaji wanatoa sifa za kijinga tu eti electrical fence, kumbe ukuta wa makuti tu.
Mkuu, kama hapo wamepigwa je kwa kuwategemea akina Kibu, Saido na Bocco hapo vipi?
 
Uwanja haukuwa rafiki kuanzia pitch hadi mwanga hafifu mnooo. Nadhani ule mwanga haujakidhi viwango vya kutumika katika mechi ya mashindano, inawezekana kuna wachezaji wanapata changamoto. Hata Yanga na Azam walipata changamoto kucheza mpira wao.

Che Malone ni bonge la beki ila Outtara hakutakiwa kuachwa kama backup pale beki za kati. Uchezaji wa Malone na Outtara unafanana sana na sielewi kwa nini kuna watu hawawakubali central defenders wa namna hii wanaocheza kwa akili na utulivu.
 
Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.

Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa.

Sasa hapa Simba inatapambana na Timu za daraja la kawaida kabisa, huko Super Ligue na Champion league sijui itakuaje. Kiufupi huyu jamaa sio mmbaya sana lakini naona kwa level za Simba Bado sana.

Hawa watangazaji wanatoa sifa za kijinga tu eti electrical fence, kumbe ukuta wa makuti tu.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom