Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila kitu Stellenbosch wameonyesha uwezo

Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila kitu Stellenbosch wameonyesha uwezo

Shida ya sisi watanzania tunataka tushinde tu timu ikifungwa basi ni dhaifu Kwan Tim kubwa dunian hazifungwi? Ila sisi jaman
Limefungwa goli moja bado watu wanaona Simba ni wadhaifu wallah sijui mnatakaga nin
 
Nimeleta pesa kuliko nyie.Nimepanda ranking hadi wa 4 kwenye ubora Afrika.Sianzii na vitimu uchwara kwenye raundi za awali kama mfanyavyo nyie.
Wala usilinge na ranking zinazochukuliwa kwa miaka 5 iliyopita,,kaa kwa kutulia si utacheza klabu bingwa msimu ujao hapo ndio tutakuonyesha kwamba timu yako uwezo wake ni mdogo ata makundi utoingia kwa timu iyo uliyonayo labda uiboreshe!
 
Mmekuja na hizi ngonjera tokea gemu na Al Ahli Tripoli hata kama ni repetition imeanza kukwaruza.Tafuteni jipya.
Sasa al ahly tripoli nayo ni timu ya kuongea kwa watu? Yani labda nikwambie kitu Mosepe kutaka kufuta hii michuano sio kwamba anakosea bali kinachoonekana kwa timu zinazoshiriki hii michuano kwakweli ni uvundo mtupu,,timu zote viwango ni vibovu ni Bora aifute tu
 
Wala usilinge na ranking zinazochukuliwa kwa miaka 5 iliyopita,,kaa kwa kutulia si utacheza klabu bingwa msimu ujao hapo ndio tutakuonyesha kwamba timu yako uwezo wake ni mdogo ata makundi utoingia kwa timu iyo uliyonayo labda uiboreshe!
Hizo kelele tumezizoea.Ranking kuchukuliwa kwa miaka 5 iliyopita nyie hamkushiriki?Au mlikuwa mmefungiwa?Timu hii inazidi kujengwa na bado imewapita sana kwenye ranking. Si wewe uliyekuja na hadithi ya kuchoma kichaka cha ranking mara ukakimbia uzi wako.Tumezoea ngonjera zenu.Umeshirki miaka hiyo 5 hata kwenye top 10 haupo halafu ngebe nyingi.
 
Dah watu wana makasiriko. Mara Simba mbovu, mara ushirikina ili mradi tu mpate pa kushika. Simba ikichukua hili kombe kuna watu watajiua walah tena. Inawezekana hata haya magoli tunayokosa kuna wasng wanabana mbupu zao
 
Mimba changa ni tatizo kubwa sana kwa hawa wavimba macho.Hawajui washike lipi.
Ndio maana wanapikiwa supu chakula maalum kwa walevi na waja wazito.
 
Hizo kelele tumezizoea.Ranking kuchukuliwa kwa miaka 5 iliyopita nyie hamkushiriki?Au mlikuwa mmefungiwa?Timu hii inazidi kujengwa na bado imewapita sana kwenye ranking. Si wewe uliyekuja na hadithi ya kuchoma kichaka cha ranking mara ukakimbia uzi wako.Tumezoea ngonjera zenu.Umeshirki miaka hiyo 5 hata kwenye top 10 halafu ngebe nyingi.
Ngebe au yanga ndio timu Bora kwasasa kwenye ukanda huu wa afrika mashariki na kati,,iyo michuano unayoangaika nayo wenzako wamecheza fainali na Wana medali ya mshindi wa pili wewe unayo?
Ungekuwa na timu Bora ungecheza shirikisho(washindwa cup?)
 
Timu bora huwa inaonyesha kwenye ranking. Timu bora haihesabiwi kwa ngebe.Ni aibu kusema una timu bora halafu hata kwenye makundi hujapita.Ni sawa na Burundi waseme wana timu bora.Timu bora inaonekana kwenye takwimu za CAF sio mdomoni na kwenye vikao vya kahawa.Make up your mind mara tuna medali mara michuano ya wanawake. Which is which?
 
Anakejeli mashindano wakati huo huo anajigamba na medali ya mashindano hayo hayo
 
Timu bora huwa inaonyesha kwenye ranking. Timu bora haihesabiwi kwa ngebe.Ni aibu kusema una timu bora halafu hata kwenye makundi hujapita.Ni sawa na Burundi waseme wana timu bora.Timu bora inaonekana kwenye takwimu za CAF sio mdomoni na kwenye vikao vya kahawa.Make up your mind mara tuna medali mara michuano ya wanawake. Which is which?
Ranking sio kipimo cha ubora,,unaposema Simba ni Bora kwakuwa ipo nafasi ya 5 kwenye ranking unajidanganya na hao mbumbumbu wenzako,,Simba ingekuwa Bora basi Leo hii ingekuwa ata nusu fainali ya klabu bingwa,,mngekuwa Bora msingecheza michuano ya nyongeza iyo,,unataka kuniambia Simba ni Bora kuliko Orando pirates? Orando kwenye ranking Yuko nafasi ya 20 uko na anakinukisha nusu fainali klabu bingwa kwa ubora mkubwa je mnaweza kunusa pua zenu kubattle na Orando kama kigezo cha ubora ni ranking?
 
Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!

Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba!

Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata kigoli cha mazonge mazonge na sio uwezo wa timu!

Uwa nasema mara nyingi Simba inabebwa na mambo ya nje ya uwanja ya ushirikina inapokuwa uwanja wa nyumbani ndio maana ya kale kamsemo ka kwa mkapa atoki mtu wanajua nguvu zao za ulozi ziko apo na aziwezi kufua dafu wanapokwenda ugenini kwakuwa uchawi aupandi ndege!

Ndio maana Leo Mpira umekwisha na mashabiki wao wengi wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya barafu na wakati wameshinda wanajua tegemeo lao limeferi la kutumia uwanja wa nyumbani kupata angalau goli 2 wakati kamati ya ufundi imefanya Kila njia imeshindikana sasa kule kwa madiba bila kuwafunga jamaa miguu itakuwaje!

Narudia Tena Simba uwezo wa kikosi chenu ni mdogo sana na apo mnacheza kikombe cha washindwa vipi msimu ujao mkienda kucheza ligi ya mabingwa na kikosi icho si mtatia aibu nyie!

Mchezaji anaumia kocha anashindwa kumtoa kwakuwa wachezaji walioko benchi ni viwango vyao ni tiamaji tiamaji

N:B Kutoa povu ni ruksa lakini ujumbe umefika
Uto mna wivu kweli kama wake wenza.
 
Siwezi kupoteza muda wangu kujibizana na mtu ambaye ni dhahiri hayuko sawa kisaikolojia
Wewe uko sawa? Kama uko sawa umewashwa nini kuchangia hapa si ungetulia,,unajua kabisa kinachokwenda kutokea na timu yako iyo ya kutegemea ushirikina
 
Back
Top Bottom