Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila kitu Stellenbosch wameonyesha uwezo

Ranking sio kipimo cha ubora,,unaposema Simba ni Bora kwakuwa ipo nafasi ya 5 kwenye ranking unajidanganya na hao mbumbumbu wenzako,,Simba ingekuwa Bora basi Leo hii ingekuwa ata nusu fainali ya klabu bingwa,,mngekuwa Bora msingecheza michuano ya nyongeza iyo,,unataka kuniambia Simba ni Bora kuliko Orando pirates? Orando kwenye ranking Yuko nafasi ya 20 uko na anakinukisha nusu fainali klabu bingwa kwa ubora mkubwa je mnaweza kunusa pua zenu kubattle na Orando kama kigezo cha ubora ni ranking?
Ranking ni kipimo cha nini kama sio ubora?Hawa Orlando unaowasema walikuwa bora kwenye kipindi gani cha muda mrefu?Hizo ranking kama sio ubora timu zinapata pointi kwa kufungwa mpaka zifikie hizo pointi za kuwa mbele kwenye ranking?Najua roho inakuuma Simba ni 4 sio ya 5 kama unavyodai wewe.
Jifunze ranking system ndio zinaaamua seeding.Na seeding huwa inapangwa kwa ubora.Tena ubora wa muda mrefu miaka 5 sio fluke ya mwaka mmoja.
 
Sasa iyo timu yako aina ubora ndio maana mara 2 unaingia robo ya iyo michuano na unakomea hapo,,wenzako walijipata na ndani ya msimu Mmoja wakacheza fainali,,msimu uliofata wakaingia robo ya klabu bingwa kabla ya kuzulumiwa goli lao south Africa walikuwa wanaingia nusu klabu bingwa,,wewe unaokolewa na vipoint ulivyovipata kipindi yanga ajaamka vinginevyo ungekuwa ushalamba sakafu
 
Umerudia kule kule.Mavi ya kuku.Kipindi Yanga hajaamka?Na umebadilisha muelekeo tena sio ranking tena.Umeshiriki miaka mingapi sasa hivi ukiwa umeamka?Ulikuwa likizo ya uzazi?Sasa hivi baada ya kupanda umeshuka?Haupo hata top 10.Kichaka kimekuwa rainforest.
Aliyelamba sakafu anajulikana.Vipi ranking sio ubora au akili imekurudia.Unafikiri unagawiwa ranking ukiwa umelala.Unacheza mpira na kushinda ndio unapanda kwenye ranking.
 
Ranking sio kipimo cha ubora,,unaposema Simba ni Bora kwakuwa ipo nafasi ya 5 kwenye ranking unajidanganya na hao mbumbumbu wenzako,,Simba ingekuwa Bora basi Leo hii ingekuwa ata nusu fainali ya klabu bingwa,,mngekuwa Bora msingecheza michuano ya nyongeza iyo,,unataka kuniambia Simba ni Bora kuliko Orando pirates? Orando kwenye ranking Yuko nafasi ya 20 uko na anakinukisha nusu fainali klabu bingwa kwa ubora mkubwa je mnaweza kunusa pua zenu kubattle na Orando kama kigezo cha ubora ni ranking?
Nadhani unaandika huku umekatwa kichwa.

Orlando unayoizungumza misimu nadhani ni mitatu iliyopita imeshacheza na Simba na kila timu ilishinda nyumbani kwake 1-0 mechi ikaamuliwa kwa matuta baada ya hapo msimu uliofuata orlando alishindwa kuvuka makundi huku simba akiishia robo fainali.
kwa muendelezo huo ndo unamfanya Simba kuwa juu ya orlando kwa maana Caf wanajua kuna kitu wanaita fluck ndicho mlichokipata hata Yanga,Marumo na walea Alger na wewe umekiri kwamba ndani ya miaka mitano ndo wanapima viwango ukiangalia hizo timu unaweza kulinganisha form zao na Simba kwa miaka mitano?
 
Umerudia kule kule.Mavi ya kuku.Kipindi Yanga hajaamka?Na umebadilisha muelekeo tena sio ranking tena.Umeshiriki miaka mingapi sasa hivi ukiwa umeamka?Ulikuwa likizo ya uzazi?Sasa hivi baada ya kupanda umeshuka?Haupo hata top 10.Kichaka kimekuwa rainforest.
Aliyelamba sakafu anajulikana.Vipi ranking sio ubora au akili imekurudia.Unafikiri unagawiwa ranking ukiwa umelala.Unacheza mpira na kushinda ndio unapanda kwenye ranking.
Hoja yangu inabaki pale pale ranking sio ubora wa timu ndio maana unaangaika kwenye kikombe cha ndondo cup,,ungekuwa Bora ungekuwa klabu bingwa na sio vinginevyo,,na kwa kukuakikishia kwamba timu yako ni mbovu msimu ujao yanga na Simba zinacheza klabu bingwa tuone pumba na mchele zitajitenga!
 
Wewe uko sawa? Kama uko sawa umewashwa nini kuchangia hapa si ungetulia,,unajua kabisa kinachokwenda kutokea na timu yako iyo ya kutegemea ushirikina
Inaonyesha hasira zako ni kwa sababu uliwapa Sinba ushindi wa goli 3 halafu mkeka ukachanika. Unaamini ushirikina mwenyewe halafu unasingizia wengine.

Fanya haraka ukapate msaada wa kisaikolojia usije ukajidhuru au ukadhuru wengine.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Inaonyesha hasira zako ni kwa sababu uliwapa Sinba ushindi wa goli 3 halafu mkeka ukachanika. Unaamini ushirikina mwenyewe halafu unasingizia wengine.
Iyo mikeka wanacheza ndugu zako usidhani Kila Mmoja anacheza iyo mikeka yenu,,uwezo wa timu yenu ni mdogo tunapowaambia mnatoa mapovu but ukweli unabaki pale pale
 
Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!

Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba!

Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata kigoli cha mazonge mazonge na sio uwezo wa timu!

Uwa nasema mara nyingi Simba inabebwa na mambo ya nje ya uwanja ya ushirikina inapokuwa uwanja wa nyumbani ndio maana ya kale kamsemo ka kwa mkapa atoki mtu wanajua nguvu zao za ulozi ziko apo na aziwezi kufua dafu wanapokwenda ugenini kwakuwa uchawi aupandi ndege!

Ndio maana Leo Mpira umekwisha na mashabiki wao wengi wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya barafu na wakati wameshinda wanajua tegemeo lao limeferi la kutumia uwanja wa nyumbani kupata angalau goli 2 wakati kamati ya ufundi imefanya Kila njia imeshindikana sasa kule kwa madiba bila kuwafunga jamaa miguu itakuwaje!

Narudia Tena Simba uwezo wa kikosi chenu ni mdogo sana na apo mnacheza kikombe cha washindwa vipi msimu ujao mkienda kucheza ligi ya mabingwa na kikosi icho si mtatia aibu nyie!

Mchezaji anaumia kocha anashindwa kumtoa kwakuwa wachezaji walioko benchi ni viwango vyao ni tiamaji tiamaji

N:B Kutoa povu ni ruksa lakini ujumbe umefika
Sawa nyie wa kimataifa. Takwimu hazipingwi, naona mpira umeuona ww tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20250420_204145_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_20250420_204145_com.android.chrome.jpg
    132 KB · Views: 21
  • Kicheko
Reactions: Tui
Iyo mikeka wanacheza ndugu zako usidhani Kila Mmoja anacheza iyo mikeka yenu,,uwezo wa timu yenu ni mdogo tunapowaambia mnatoa mapovu but ukweli unabaki pale pale
Subiri kesho mumkande mtu goli 8 ufurahi. Una hasira wakati timu yako hata kwenye mashindano haipo. Kwa sasa wewe ni mtu hatari kwa wote wanaokuzunguka.

Inakuwaje una hasira zote hizo na pasaka yote hii?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Sawa nyie wa kimataifa. Takwimu hazipingwi, naona mpira umeuona ww tu.
Hizo takwimu hazina maana yoyote Kila timu inapokuwa ugenini inakuwa na game plan yake unaweza ukachiwa possession ata ya 90% kwa 10% na bado ukatoka kapa
 
Iyo mikeka wanacheza ndugu zako usidhani Kila Mmoja anacheza iyo mikeka yenu,,uwezo wa timu yenu ni mdogo tunapowaambia mnatoa mapovu but ukweli unabaki pale pale
Nyie wenye uwezo makubwa si nlikuwa kwenye mashindano makubwa?! Nadhani ushafuzu finali!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Timu bora huwa inaonyesha kwenye ranking. Timu bora haihesabiwi kwa ngebe.Ni aibu kusema una timu bora halafu hata kwenye makundi hujapita.Ni sawa na Burundi waseme wana timu bora.Timu bora inaonekana kwenye takwimu za CAF sio mdomoni na kwenye vikao vya kahawa.Make up your mind mara tuna medali mara michuano ya wanawake. Which is which?

Wiki ya kimataifa hii alafu timu bora ipo manyara huko can you imagine!!!?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Subiri kesho mumkande mtu goli 8 ufurahi. Una hasira wakati timu yako hata kwenye mashindano haipo. Kwa sasa wewe ni mtu hatari kwa wote wanaokuzunguka.
Ilitolewa kwenye mashindano makubwa sio kahawa cup unayoshiriki wewe na vitimu vya ovyo ovyo ivyo
 
Hizo takwimu hazina maana yoyote Kila timu inapokuwa ugenini inakuwa na game plan yake unaweza ukachiwa possession ata ya 90% kwa 10% na bado ukatoka kapa
Nikuletee zingine hata zenu? Mlizojinadi kufanya makuu?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ilitolewa kwenye mashindano makubwa sio kahawa cup unayoshiriki wewe na vitimu vya ovyo ovyo ivyo
Subiri ushuhudie fainali ya Simba na timu nyingine ya hovyo iliyo mashindanoni Berkane ambao ni mabingwa wa Morocco, timu ya hovyo kweli kweli katika mashindano ya hovyo haswa.
 
Labda iwe fainali ya mbuzi cup but sio shirikisho!
 
Back
Top Bottom