Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila kitu Stellenbosch wameonyesha uwezo

Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!

Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba!

Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata kigoli cha mazonge mazonge na sio uwezo wa timu!

Uwa nasema mara nyingi Simba inabebwa na mambo ya nje ya uwanja ya ushirikina inapokuwa uwanja wa nyumbani ndio maana ya kale kamsemo ka kwa mkapa atoki mtu wanajua nguvu zao za ulozi ziko apo na aziwezi kufua dafu wanapokwenda ugenini kwakuwa uchawi aupandi ndege!

Ndio maana Leo Mpira umekwisha na mashabiki wao wengi wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya barafu na wakati wameshinda wanajua tegemeo lao limeferi la kutumia uwanja wa nyumbani kupata angalau goli 2 wakati kamati ya ufundi imefanya Kila njia imeshindikana sasa kule kwa madiba bila kuwafunga jamaa miguu itakuwaje!

Narudia Tena Simba uwezo wa kikosi chenu ni mdogo sana na apo mnacheza kikombe cha washindwa vipi msimu ujao mkienda kucheza ligi ya mabingwa na kikosi icho si mtatia aibu nyie!

Mchezaji anaumia kocha anashindwa kumtoa kwakuwa wachezaji walioko benchi ni viwango vyao ni tiamaji tiamaji

N:B Kutoa povu ni ruksa lakini ujumbe umefika
Hauna akili. Nyie uto ndio mmeifanyia ushirikina Simba kiasi cha kukosa clear chance nyingi tu
 
  • Nzuri
Reactions: Tui

Kwaiyo yanga ndio iliwafanyia usajili wa kusajili wachezaji wa viwango vya kucheza Namungo? Rage alikuwa sahihi
 
Nimekupa muda wangu wa kutosha. Nasisitiza nenda kapate msaada, wakikuwahi utapona
Kabla Mimi sijapona inatakiwa Rage arudi kuongoza maana wafuasi wake wanazidi kuongezeka!
 
Ngebe au yanga ndio timu Bora kwasasa kwenye ukanda huu wa afrika mashariki na kati,,iyo michuano unayoangaika nayo wenzako wamecheza fainali na Wana medali ya mshindi wa pili wewe unayo?
Ungekuwa na timu Bora ungecheza shirikisho(washindwa cup?)

Unataka kusifia shirikisho sababu timu yako ilifika fainali hapo hapo unataka kuiponda shirikisho sababu una wasiwasi timu pinzani itafika huko au zaidi.

Tusipokuwa makini soka itapigwa marufuku kwa kuvuruga akili.
 
Nani asifie shirikisho wewe bwana kwani nani ajui iyo michuano ni ya washindwa? Nani ajui ni michuano inayoshirikisha timu dhaifu? Timu pinzani ikifika uko aiwezi kuwa ajabu kwakuwa tiyali wengine walishafika mbali zaidi na kuweka rekodi isiyofutika,,
 
Nimejaribu kuwaza kama ni mimi ndio nimeongea hivi. Mkuu sikufichi, baada ya muda nikanza kuona haya.

Ushindi huitaji goal 1 na huenda kwenye marudiano wale madogo wakajaa kwenye mfumo wakala chuma 3. Sijui utaiweka wapi hiyo sura yako
 
Nani asifie shirikisho wewe bwana kwani nani ajui iyo michuano ni ya washindwa? Nani ajui ni michuano inayoshirikisha timu dhaifu? Timu pinzani ikifika uko aiwezi kuwa ajabu kwakuwa tiyali wengine walishafika mbali zaidi na kuweka rekodi isiyofutika,,
Mlipofika yalikuwa mashindano ya waliyoshindwa?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mchezaji anaumia kocha anashindwa kumtoa kwakuwa wachezaji walioko benchi ni viwango vyao ni tiamaji tiamaji
Nikisema mimi ooh wewe unatafuta umaarufu kupitia Simba haya na wewe umesema umewamwagia Chumvi machoni watalia mpaka walie tena na wengine watasema umewamwagia pilipili
 
Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!

Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba!

Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata kigoli cha mazonge mazonge na sio uwezo wa timu!

Uwa nasema mara nyingi Simba inabebwa na mambo ya nje ya uwanja ya ushirikina inapokuwa uwanja wa nyumbani ndio maana ya kale kamsemo ka kwa mkapa atoki mtu wanajua nguvu zao za ulozi ziko apo na aziwezi kufua dafu wanapokwenda ugenini kwakuwa uchawi aupandi ndege!

Ndio maana Leo Mpira umekwisha na mashabiki wao wengi wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya barafu na wakati wameshinda wanajua tegemeo lao limeferi la kutumia uwanja wa nyumbani kupata angalau goli 2 wakati kamati ya ufundi imefanya Kila njia imeshindikana sasa kule kwa madiba bila kuwafunga jamaa miguu itakuwaje!

Narudia Tena Simba uwezo wa kikosi chenu ni mdogo sana na apo mnacheza kikombe cha washindwa vipi msimu ujao mkienda kucheza ligi ya mabingwa na kikosi icho si mtatia aibu nyie!

Mchezaji anaumia kocha anashindwa kumtoa kwakuwa wachezaji walioko benchi ni viwango vyao ni tiamaji tiamaji

N:B Kutoa povu ni ruksa lakini ujumbe umefika
Vp nyie wenye kikosi bora na kizuri klabu bingwa Afrika mpo hatua ipi?
 
Ujanja wa Simba ni kama mpinzani wao ame park bus ila kama anashambulia Simba ni wepesi mno
fuatilia timu zote zilizojaribu kushambulia pindi zichezapo na simba huwa zinaambulia nini mfano mzuri ni waarabu, ni hatari sana kujaribu kupishana na simba na hii sio kwenye mpira tu hata porini iko hivyo.
 
Uchawi ungetumika kwenye michezo nadhani kuna Taifa lingeogopwa sana hapa Africa. Ila watu kama nyie ndio advantage kubwa ya KIJANI 😏
Huyo mzee wenu dalali alilala uwanjani,na hapo anajisifia hadharani
 
Attachments

  • VID-20250420-WA0003.mp4
    9.2 MB
fuatilia timu zote zilizojaribu kushambulia pindi zichezapo na simba huwa zinaambulia nini mfano mzuri ni waarabu, ni hatari sana kujaribu kupishana na simba na hii sio kwenye mpira tu hata porini iko hivyo.
Yanga walishinda.

Azam walitoka draw.

Coast walitoka draw.

Mwarabu alishinda 2 kwao.

Alipokuja kwa mkapa aka park bus ndio maana akafungwa.

Stela wameshambulia ndo maana mmecheza kwa nidhamu na hamjapata magoli mengi zaidi ya kigoli kimoja cha uongo na kweli.

Hata kwenye ligi ya NBC Simba huzifunga timu zinazo park bus
 
Vp nyie wenye kikosi bora na kizuri klabu bingwa Afrika mpo hatua ipi?
Tofautisha michuano ya kahawa cup na klabu bingwa,,yanga kuingia makundi klabu bingwa ni sawa na Simba kuingia fainali ya icho kikombe chenu cha kahawa,,kule ni kwa wanaume na sio wavulana!
 
Unaweza kutupa kumbukumbu ndani ya miaka mitano yanga ameingia robo fainali klabu bingwa Afrika mara ngapi na Simba mara ngapi?
Haji Manara 'wenye akili ni wawili tuu '
 
Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!

Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba!

Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata kigoli cha mazonge mazonge na sio uwezo wa timu!

Uwa nasema mara nyingi Simba inabebwa na mambo ya nje ya uwanja ya ushirikina inapokuwa uwanja wa nyumbani ndio maana ya kale kamsemo ka kwa mkapa atoki mtu wanajua nguvu zao za ulozi ziko apo na aziwezi kufua dafu wanapokwenda ugenini kwakuwa uchawi aupandi ndege!

Ndio maana Leo Mpira umekwisha na mashabiki wao wengi wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya barafu na wakati wameshinda wanajua tegemeo lao limeferi la kutumia uwanja wa nyumbani kupata angalau goli 2 wakati kamati ya ufundi imefanya Kila njia imeshindikana sasa kule kwa madiba bila kuwafunga jamaa miguu itakuwaje!

Narudia Tena Simba uwezo wa kikosi chenu ni mdogo sana na apo mnacheza kikombe cha washindwa vipi msimu ujao mkienda kucheza ligi ya mabingwa na kikosi icho si mtatia aibu nyie!

Mchezaji anaumia kocha anashindwa kumtoa kwakuwa wachezaji walioko benchi ni viwango vyao ni tiamaji tiamaji

N:B Kutoa povu ni ruksa lakini ujumbe umefika
Pole utopolo utopopo
 
Back
Top Bottom