Simba Queens imetolewa mashindanoni na mko kimya tu

Huu mwandiko kama wa Sharifa Dada..
 
Umeangalia mechi lakini au umechukua matokeo tu. ungekuwa mtu makini ningekupa highlights mimi niliyeangalia game yote. Ila kwa wewe topolo itakuwa kupigia mbuzi gitaa
Sikieni hii toto iliyolaaniwa
Highlights halafu mmebamizwa? Haya basi mmeshinda...
 
Pamoja na kutolewa ila Simba queens huwezi kulinganisha na timu yoyote hapo utopolo.

Kuanzia yanga ya watoto, wadada hadi wanaume wote inawachapa.
 
Pamoja na kutolewa ila Simba queens huwezi kulinganisha na timu yoyote hapo utopolo.

Kuanzia yanga ya watoto, wadada hadi wanaume wote inawachapa.
Vihiga Queens.
 
Sikieni hii toto iliyolaaniwa
Highlights halafu mmebamizwa? Haya basi mmeshinda...
Hahahahah....Huyo jamaa atakuwa mzenji maana ata akifungwa anaonekana kufurahia mpira wa "Chenga Twawala.."
 
nakuuliza uliangalia mechi?
Jioni ya leo nilikuwa naelekea Langata nikitoka City center. Nikaona Jezi nyingi za njano zikiuzwa nikauliza nani anacheza nikaambiwa Vihiga Queens vs Makolokolo FC Wanawake.

Nikaona isiwe tabu ngoja niingie nikachungulie kidogo, Kuuliza kiingilio nikaambiwa ni Shilingi 70 za Kikenya (ni sawa na Buku Jero za Kibongo). Basi nikaingia, ila nikakuta game iko dakika ya 12.

Vipi wewe uliitazama game kupitia Luninga?
 
Mama J hiyo mimba Bora uichomoe tu, siyo kwa kisirani hicho. Ndiyo shida ya kupanua miguu ovyoo unatiwa mimba na mtu asiyekuwa na malengo na wewe matokeo yake wanaume wote unawaona wabaya.
Isha Mashauzi katika Ubora wako. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mkuu huyu naimani tarehe 12/09/2021 muda kama huu atakua kashalala na simu atazima maana simba queen tu ni bora kuliko hilo band lao la bolingo
 
Mkuu huyu naimani tarehe 12/09/2021 muda kama huu atakua kashalala na simu atazima maana simba queen tu ni bora kuliko hilo band lao la bolingo
Sasa Mtani.

Mbona wakina Sarpong & Fiston Abdulrazak walichukua alama 4 na kukuachia 1 kwenye mechi za ushindani za Ligi. Tena ukiwa na wakina Miqque & Chama?

Sasa hao wadogo wa under 23 sijui una matario nao gani wanapokuja kutana na wazee wa KUJAZA.
 
Ubingwa ulichukua..? Unajua timu kibonde inaweza kukamia game kubwa tu basi. Au mpira umeanza shabikia 2020+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…