Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mkuu, goli 6 ni nyingi kuliko 5. Simba aliifunga Yanga 6-0.... kila mtu alikwisha wahi kumfunga mwenzake goli 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, goli 6 ni nyingi kuliko 5. Simba aliifunga Yanga 6-0.... kila mtu alikwisha wahi kumfunga mwenzake goli 5.
Bayelsa United FC sio mabingwa wa NFPL.
nakuuliza uliangalia mechi?Ndio yale yale ya Chenga twawala...
WalijaribuSimba Queens imepigwa mambo na kutolewa mashindanoni na mko kimya, mna siri sana machawa wa tajiri Ilivoshinda kumi, mlipiga sana kelele humu.
Shubamiti.
View attachment 1926735
We jamaa umekunywa maji bendera si kwa umbu3 huo,stika ya gari gani ipo vile!Stika ya gari hiyo, wala usihadaiwe na photoshop
Sikieni hii toto iliyolaaniwaUmeangalia mechi lakini au umechukua matokeo tu. ungekuwa mtu makini ningekupa highlights mimi niliyeangalia game yote. Ila kwa wewe topolo itakuwa kupigia mbuzi gitaa
Jioni ya leo nilikuwa naelekea Langata nikitoka City center. Nikaona Jezi nyingi za njano zikiuzwa nikauliza nani anacheza nikaambiwa Vihiga Queens vs Makolokolo FC Wanawake.nakuuliza uliangalia mechi?
Mkuu huyu naimani tarehe 12/09/2021 muda kama huu atakua kashalala na simu atazima maana simba queen tu ni bora kuliko hilo band lao la bolingoNdugu yangu suala la ushabiki wa mpira Tanzania ni ushamba wa hali ya juu sana.
Nahisi hatujui maana ya mpira na tunaukosea mpira kwa kuufanya uwe sehemu ya kuhara na kutapika vitu vya ajabu visivyo na faida yoyote katika soka.
Mpira ni takwimu, mpira ni vikombe, mpira ni fedha na mpira ni mafanikio. Nataka wewe shabiki wa Yanga tumia akili za kawaida kisha niambie kati ya hao Simba Queens na Yanga Sc ni timu gani ilifanya vizuri kwenye mashindano yake ndani ya miaka mitatu iliyopita.
Ukipata jibu anza kujiuliza ukubwa wa timu yako kwa sasa ni nini? Usajili wa kelele au kuwa na wasemaji wapiga kelele ambao wanakuja kuwajaza imani kwa mzoga uliooza na wenye kutoa harufu upambwe na kuonekana ni nyama inayofaa.
Angalia wenzenu ambao mnawabeza kishingo upande wamefika wapi katika soka ndani na nje ya Tanzania. Ndani ya kipindi kifupi wanacheza robo fainali mbili za CAFCL hii si bahati mbaya ni mikakati iliwekwa.
Tengenezeni timu shindani ambayo itakuzwa na mpira na matokeo yake na si kelele za kishabiki zisizo na manufaa kwa timu yenu.
Km ilivyowatesa kule kigoma. Wakatoka kweupe bila kikombe cha maana msimu wa nne mfululizo. NA BADOKwanini rangi ya Njano inawatesa sana Makolokolo FC..?
Sasa Mtani.Mkuu huyu naimani tarehe 12/09/2021 muda kama huu atakua kashalala na simu atazima maana simba queen tu ni bora kuliko hilo band lao la bolingo
Ubingwa ulichukua..? Unajua timu kibonde inaweza kukamia game kubwa tu basi. Au mpira umeanza shabikia 2020+Sasa Mtani.
Mbona wakina Sarpong & Fiston Abdulrazak walichukua alama 4 na kukuachia 1 kwenye mechi za ushindani za Ligi. Tena ukiwa na wakina Miqque & Chama?
Sasa hao wadogo wa under 23 sijui una matario nao gani wanapokuja kutana na wazee wa KUJAZA.