cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walete Yanga princess.Timu kutoka Uganda She corporate wamejitahidi kwakua wameshiriki Kwa mara ya kwanza na wamecheza fainali Tena wamecheza na Simba ambayo ilisheheni wachezaji wengi wa kimataifa.
Kwangu Mimi She corporate bila ya mchezaji wa kigeni wao ni washindi.
Kwa upande wa Simba wamesajili wachezaji wengi wa kimataifa ila hii fainali imeonyesha kocha anatakiwa afanye kitu chaziada ki ufundi kwakua anakwenda kwenye mashindano makubwa.
Weuweeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!! Poleeeeeh kwa kutesekaaaaaa.
Ndo tushashindaaaaa, meza wembeee babuuuuh.