Simba si timu kubwa na haijawahi kuwa timu kubwa si Kwa Afrika au Tanzania. Timu zote kubwa Afrika zimetwaa kikombe Cha Afrika. Hakuna timu kubwa Afrika kwasasa eti ianzishe tamasha wawaalike Simba.
Wakati Wenyewe Simba wanajitutumua waonekane wakubwa, uhalisia unakataa kufika robo fainali Afrika timu nyingi zimeisha fanya hivyo hususani Yanga.
Yanga wenyewe ata awa ringi Wala kujitutumua.
Yanga imecheza back-to-back Caf champion league 1969, 1970 wakati Simba imetoka kuitwa queen [emoji146] Kuja Sunderland ata jina la Simba bado awajalipata.
1995 wakina Maalim salehe(Romalio), Anur Awadh, Silvatus Ibrahim n.k vijana wadogo, wapya wanaipeleka Yanga robo fainali kombe la washindi barani Afrika wakati Yanga wametoka Kuvunja kikosi Chao Cha kina Kizota, lunyamila, Athman China, Godwin Aswile n.k wote kufukuzwa na kwenda Simba.
1998 Yanga Wana cheza Caf Champion league quarter final baada ya kuwatoa Rayon Sports.
Rayon iliyokua bingwa mtetezi wa Afrika Mashariki na kati Kwa wakati huo Rayon Yakina Hamad Ndikumana, Nseko Seif, Ndikumana Manfique Kenya Brueries anakufa 1-0 final ya cecafa 1998.
Yanga Wana cheza quarter final ya confederation 2016 Kwa kuwatoa waitara dicha ya Ethiopia.
Sisi Yanga Wala haturingi na hatujiiiti timu kubwa Afrika kwakua hatuna kikombe Cha Afrika.
Tumewafunga Ahly apa Taifa, tumekwenda Kwa Ahly tukamlazimisha mbaka kwenye Matuta bahati mbaya Said bahanuzi akatuangusha Kwa kukosa mkwaju muhimu wa kihistoria.
Tukaenda Tena na Kocha Hans plujin pale Cairo mpila ulipigwa mwingi mbaka mwarabu anaomba poo tukapoteza dk za nyongeza Kwa goli 2-1 alafu atujiiti timu kubwa Wala haturingi.
Simba mnajiita timu kubwa Kwa kikombe kipi !!!
Kwa hapa bongo tunawaburuza Kila siku kuanzia vikombe vya ubingwa mbaka matokeo ya Uwanjani Sasa uwo ukubwa wa mchongo mnautoa wapi!!
Ao wasudani wamewaalika kwakua nanyi mliwahi kuwaalika ila si Kwa ukubwa wa timu kwakua atawao hawana ukubwa.
Ukubwa aulazimishwai unakuja wenyewe
Kwani sisi apa Bongo tunalazimisha!! Situnawatandika nyie Mbumbumbu fc na kutwaa vikombe na ndio maana Sisi Yanga ni wakubwa, wakubwa halisi wa matokeo ya Uwanjani.[emoji2][emoji2][emoji2]