Simba Queens Mabingwa CECAFA, kushiriki CAF Champions

Simba Queens Mabingwa CECAFA, kushiriki CAF Champions

Hao mkuu furaha yao ni kumfunga Simba tu. Yani ni bora wapoteze makombe na ubingwa wowote ila tu wamfunge Simba, baaas.
Hata usingesema, siku zote ndio inajulikana hivyo

Hayo ndo malengo ya Yanga inayojiwekea kila mwaka na ndio maana wanapotubashiria mafanikio yao ya msimu huu kimataifa tunawapuuza kwasababu tunawajua
 
Yanga haija amua kuwekeza kwenye soka la wanawake kwakua kupanga ni kuchagua.
Yanga itakapo amua kuwekeza kwenye soka la wanawake watabeba vikombe bila shida yoyote.
Kuwekeza kwa kugawa rushwa, hongo kwa waamuzi na maofisa wa mechi zenu bila kusahau uwekezaji kwa waganga wa kienyeji... mtaisoma namba huko CAF
 
Kama sikosei kwenye ligi ya mabinti msimu huu uliomalizika, Princess ilimfunga Queens

Lakini pamoja na wao kushinda, wamefika wapi kwenye level za kimataifa?

Na timu yenu ya wavulana nayo hivyo hivyo, inajisifu kumfunga Simba lakini katika record za kimataifa hamtambuliki halafu mna mind eti mnataka na nyie mpewe mualiko

Kwa fikra zenu hizi siwafichi yani mna miaka mingi mbele ya ku3ndelea kutupa lawama kwa TFF na kusema Simba inapendelewa

Na venye hamja ajiri wasomi kwa kuwapa sauti wazee ndio mtazidi kupoteana, wazee wenu wana zeeka vibaya yani kitu kidogo tu wanashauri muandamane kwa mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unapataje nguvu ya kutoa ushauri kwa Simba queens wakati Yanga Princess hawapo ,hiyo nguvu ya kutoa ushauri ungewekeza kwa Yanga Princess
Uyo mwana utopolo/vyura fc nimchawi tena mchawi kweli kweli tena akiendelea na tabia uyo anaweza hata jiua kwa roho ya husda na ya kwann..
 
Kama sikosei kwenye ligi ya mabinti msimu huu uliomalizika, Princess ilimfunga Queens

Lakini pamoja na wao kushinda, wamefika wapi kwenye level za kimataifa?

Na timu yenu ya wavulana nayo hivyo hivyo, inajisifu kumfunga Simba lakini katika record za kimataifa hamtambuliki halafu mna mind eti mnataka na nyie mpewe mualiko

Kwa fikra zenu hizi siwafichi yani mna miaka mingi mbele ya ku3ndelea kutupa lawama kwa TFF na kusema Simba inapendelewa

Na venye hamja ajiri wasomi kwa kuwapa sauti wazee ndio mtazidi kupoteana, wazee wenu wana zeeka vibaya yani kitu kidogo tu wanashauri muandamane kwa mama

On top of that, Simba Queen ilialikea S.A kwenda kucheza mechi kule ila wakagoma maana walikua wanajiandaa na hii michuano waliyochukua ubingwa. Najiuliza kwanini hii mialiko inakuja Simba tu? Kwa wanawake na wanaume, jibu ni Simple, Bara la Afrika kwa sasa katika ngazi za vilabu Simba ni dude kubwa sana na limejitangaza vizuri sana.

Tunavuna tulicho panda...Utopolo watabaki na malalamiko wasipojiongeza.
 
Simba si timu kubwa na haijawahi kuwa timu kubwa si Kwa Afrika au Tanzania. Timu zote kubwa Afrika zimetwaa kikombe Cha Afrika. Hakuna timu kubwa Afrika kwasasa eti ianzishe tamasha wawaalike Simba.
Wakati Wenyewe Simba wanajitutumua waonekane wakubwa, uhalisia unakataa kufika robo fainali Afrika timu nyingi zimeisha fanya hivyo hususani Yanga.
Yanga wenyewe ata awa ringi Wala kujitutumua.

Yanga imecheza back-to-back Caf champion league 1969, 1970 wakati Simba imetoka kuitwa queen [emoji146] Kuja Sunderland ata jina la Simba bado awajalipata.

1995 wakina Maalim salehe(Romalio), Anur Awadh, Silvatus Ibrahim n.k vijana wadogo, wapya wanaipeleka Yanga robo fainali kombe la washindi barani Afrika wakati Yanga wametoka Kuvunja kikosi Chao Cha kina Kizota, lunyamila, Athman China, Godwin Aswile n.k wote kufukuzwa na kwenda Simba.

1998 Yanga Wana cheza Caf Champion league quarter final baada ya kuwatoa Rayon Sports.
Rayon iliyokua bingwa mtetezi wa Afrika Mashariki na kati Kwa wakati huo Rayon Yakina Hamad Ndikumana, Nseko Seif, Ndikumana Manfique Kenya Brueries anakufa 1-0 final ya cecafa 1998.
Yanga Wana cheza quarter final ya confederation 2016 Kwa kuwatoa waitara dicha ya Ethiopia.
Sisi Yanga Wala haturingi na hatujiiiti timu kubwa Afrika kwakua hatuna kikombe Cha Afrika.
Tumewafunga Ahly apa Taifa, tumekwenda Kwa Ahly tukamlazimisha mbaka kwenye Matuta bahati mbaya Said bahanuzi akatuangusha Kwa kukosa mkwaju muhimu wa kihistoria.
Tukaenda Tena na Kocha Hans plujin pale Cairo mpila ulipigwa mwingi mbaka mwarabu anaomba poo tukapoteza dk za nyongeza Kwa goli 2-1 alafu atujiiti timu kubwa Wala haturingi.
Simba mnajiita timu kubwa Kwa kikombe kipi !!!

Kwa hapa bongo tunawaburuza Kila siku kuanzia vikombe vya ubingwa mbaka matokeo ya Uwanjani Sasa uwo ukubwa wa mchongo mnautoa wapi!!
Ao wasudani wamewaalika kwakua nanyi mliwahi kuwaalika ila si Kwa ukubwa wa timu kwakua atawao hawana ukubwa.

Ukubwa aulazimishwai unakuja wenyewe
Kwani sisi apa Bongo tunalazimisha!! Situnawatandika nyie Mbumbumbu fc na kutwaa vikombe na ndio maana Sisi Yanga ni wakubwa, wakubwa halisi wa matokeo ya Uwanjani.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yanga haija amua kuwekeza kwenye soka la wanawake kwakua kupanga ni kuchagua.
Yanga itakapo amua kuwekeza kwenye soka la wanawake watabeba vikombe bila shida yoyote.
Halafu Simba anapoitwa super cup mnaanza kuponda
 
Simba kimataifa haishikiki.. huku Queens kule Kings
Msemaji wa Azam katuambia Simba nzima ilianza ikijiita Simba Queens. Kwa hili nawapongeza.
 
20220827_211041.jpg
 
Back
Top Bottom