Simba Queens Mabingwa CECAFA, kushiriki CAF Champions

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walete Yanga princess.

Weuweeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!! Poleeeeeh kwa kutesekaaaaaa.

Ndo tushashindaaaaa, meza wembeee babuuuuh.
 
Simba Ili eneo wanatakiwa waongeze nguvu ya kuwekeza kule kiumeni watapata vidonda vya tumbo maana Yanga tunaendelea kuwa buruza tunavyotaka.
Sisi Yanga kwasasa nguvu zetu tumewekeza kiumeni baadae tutakuja uko kikeni kuchukua vikombe vyetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] meza dawa 3 zinapatikana madukani kotee, poleeeeeeeeh ikiuma chomoaaaaa.
 
Yanga haija amua kuwekeza kwenye soka la wanawake kwakua kupanga ni kuchagua.
Yanga itakapo amua kuwekeza kwenye soka la wanawake watabeba vikombe bila shida yoyote.
Kwa makombe gan hiyo Yanga ya kiume inayo, ambayo Simba haina????

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopolo princess wapiiiiiiii?????
 
Ndugu mcha [emoji238] tulia sindano itavunjika acha kutikisika kwa makasiriko
 
Kwanini msifanyie kazi team yenu nyie?
 
Yanga haija amua kuwekeza kwenye soka la wanawake kwakua kupanga ni kuchagua.
Yanga itakapo amua kuwekeza kwenye soka la wanawake watabeba vikombe bila shida yoyote.
Kumbuka swali limeangazia katika mashindano ya kimatiafa ambapo hata timu yenu ya wavulana haijawahi kuwa na record nzuri

Unataka kuniambia nikiligeuza hilo swali kuwalenga timu ya wavulana unafikiri litapata majibu ya kiridhisha?

Ukisema Princess wanacheza chini ya kiwango kwasababu hamjawekeza kwenye timu ya mabinti, vipi kwenye timu hiyo ya wanaume ambayo mmewekeza mna record gani ya kimataifa inayoridhisha ili tuwaone mko serious?
 
Simba Ili eneo wanatakiwa waongeze nguvu ya kuwekeza kule kiumeni watapata vidonda vya tumbo maana Yanga tunaendelea kuwa buruza tunavyotaka.
Sisi Yanga kwasasa nguvu zetu tumewekeza kiumeni baadae tutakuja uko kikeni kuchukua vikombe vyetu.
Kama sikosei kwenye ligi ya mabinti msimu huu uliomalizika, Princess ilimfunga Queens

Lakini pamoja na wao kushinda, wamefika wapi kwenye level za kimataifa?

Na timu yenu ya wavulana nayo hivyo hivyo, inajisifu kumfunga Simba lakini katika record za kimataifa hamtambuliki halafu mna mind eti mnataka na nyie mpewe mualiko

Kwa fikra zenu hizi siwafichi yani mna miaka mingi mbele ya ku3ndelea kutupa lawama kwa TFF na kusema Simba inapendelewa

Na venye hamja ajiri wasomi kwa kuwapa sauti wazee ndio mtazidi kupoteana, wazee wenu wana zeeka vibaya yani kitu kidogo tu wanashauri muandamane kwa mama
 
Wape kombe.
 
Ww Redio ni shabiki wa Simba hata nisingekuita ungekuja tuu
 
Simba Ili eneo wanatakiwa waongeze nguvu ya kuwekeza kule kiumeni watapata vidonda vya tumbo maana Yanga tunaendelea kuwa buruza tunavyotaka.
Sisi Yanga kwasasa nguvu zetu tumewekeza kiumeni baadae tutakuja uko kikeni kuchukua vikombe vyetu.
Kwakweli kiumeni,
Simba = mkate.
Yanga = chai
Wakikutana hapo nani hunyong'onyea jaman?
 
Ni kelele tupuuuu
 
Hao waganda Wana bahati Sana walikuwa wanakunywa sio Chini ya goli sita. Simba waliwazidi Sana. Hasa kipindi Cha pili Simba walikuja na game plan iliyowafanya she corporates wapotee.
 
Hao mkuu furaha yao ni kumfunga Simba tu. Yani ni bora wapoteze makombe na ubingwa wowote ila tu wamfunge Simba, baaas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…