OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kupanga ni kuchagua.
Nimeona nilinganishe Mihogo FC na Simba Queens kwa sababu zawadi ya Simba Sc Senior kule group stage au nusu fainali ni balaa. Ni mara mbili ya NBC kwa mechi 4 tu, yaani Pep Mgunda amecheza mechi 4 tayari ana 1.2b.
Nasema tena kupanga ni kuchagua. Asanteni sana mliopanda hii mbegu, Mo Dewji na wenzio kwenye Bodi