Kwani hata ukija kwenye kufunga goli! Lipi tamu? Lile la kulitafuta kwa muda mrefu, au muda mfupi?
Imagine mpira unatoka kwa Diarra, anampasia Bangala! Bangala anampelekea Kibwana Shomari! Kibwana Shomari anapelekea Aucho! Aucho anampasia Fei Toto kwenye njia!! Fei Toto anafumua shuti kali la umbali wa mita 30!! Aisha kushtuka, ameshapigwa bao!!
Watu wanapeleka mpira kati. Hongereni sana Yanga kwa kupata Makombe yote muhimu ya Ligi msimu uliopita. Kwa kweli mnastahili pongezi! Ni tofauti kabisa na Makolo wanao sherehekea mafanikio ya dada zao.