Simba Queens mechi 3 milioni 460, Yanga mechi 30 milioni 600

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Kupanga ni kuchagua.

Nimeona nilinganishe Mihogo FC na Simba Queens kwa sababu zawadi ya Simba Sc Senior kule group stage au nusu fainali ni balaa. Ni mara mbili ya NBC kwa mechi 4 tu, yaani Pep Mgunda amecheza mechi 4 tayari ana 1.2b.

Nasema tena kupanga ni kuchagua. Asanteni sana mliopanda hii mbegu, Mo Dewji na wenzio kwenye Bodi
 
haaaa,,awajakuelewa hawa Casava f.c embu waambie warudie kusoma tena!

Someni hapa nyumbu f.c[emoji116]
 
Kwani hata ukija kwenye kufunga goli! Lipi tamu? Lile la kulitafuta kwa muda mrefu, au muda mfupi?

Imagine mpira unatoka kwa Diarra, anampasia Bangala! Bangala anampelekea Kibwana Shomari! Kibwana Shomari anapelekea Aucho! Aucho anampasia Fei Toto kwenye njia!! Fei Toto anafumua shuti kali la umbali wa mita 30!! Aisha kushtuka, ameshapigwa bao!!

Watu wanapeleka mpira kati. Hongereni sana Yanga kwa kupata Makombe yote muhimu ya Ligi msimu uliopita. Kwa kweli mnastahili pongezi! Ni tofauti kabisa na Makolo wanao sherehekea mafanikio ya dada zao.
 
Kwa hii comment unahitaji kupata tiba ya ubongo

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Bado propaganda yao ya unbeaten haijaexpire wakimaliza hiyo kampeni tayari wameshamaliza hela zote za bahasha huku Simba Sc ameshakunja 10 billion CAF kwa wanawake na wanaume...
 
Kitu inakiili Hawa nisimba sio masoft yanga ni vilaza period
 
 
Mikia fc kelele nyingi sana wakati mashindano yenyewe mnapita kwa kengekewa tu.
Subirini makundi yapangwe vibonde nyie mkasindikize wengine.
 
Mikia fc kelele nyingi sana wakati mashindano yenyewe mnapita kwa kengekewa tu.
Subirini makundi yapangwe vibonde nyie mkasindikize wengine.
Makundi ya WhatsApp Agogwe [emoji1787][emoji1544][emoji1550]
 
UNAJITOA AKILI WW NGURUWE. KOCHA EMIL ALIWAWEZEA
 
Hilo goli hata mbuni fc hamjawahi wafunga hahahaa. Hayo makombe unayosema wenzio mpaka wameyachoka. Rudi tu misimu mitano nyuma ilikuwaje na wala hatueingi
 
Mikia fc kelele nyingi sana wakati mashindano yenyewe mnapita kwa kengekewa tu.
Subirini makundi yapangwe vibonde nyie mkasindikize wengine.
Umeandika kwa uchunguuuu!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wanabaki kuponda hatua ya makundi,leo hii wapo shirikisho wamesahau yule cheupe aliwahi kusema ni kombe la losers! Binadamu bana ana wivu sana! Tukubali tukatae Simba ishakua brand kubwa..wao wakubali kujifunza lakini sio kuponda kila kitu!
 
Utopolo kweli hamnaga akili kama manara alivyosema..ndo maana mnatukanwa kila siku
 
Mikia fc kelele nyingi sana wakati mashindano yenyewe mnapita kwa kengekewa tu.
Subirini makundi yapangwe vibonde nyie mkasindikize wengine.
cassava fc unazungumzia makundi ya nzige?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…