Simba Queens mechi 3 milioni 460, Yanga mechi 30 milioni 600

Bora ungepita kimya kimya tu ndugu. Ebu rudia kusoma huu upupu uliondika!
 
Mo amekusikia hizo zingine zilikua gelesha tu
 
Inawezekana soka umeanza kushabikia leo, kabla ya kufika hapo wameshinda ligi, wameshinda cecafa au hizo huhesabu kama ni mechi.
 

Sisi tumepanda huku juu kileleni mwa ligi kuna baridi.
 
Bado propaganda yao ya unbeaten haijaexpire wakimaliza hiyo kampeni tayari wameshamaliza hela zote za bahasha huku Simba Sc ameshakunja 10 billion CAF kwa wanawake na wanaume...
Hakuna pesa Simba anayokunja hivyo vipesa vyote anasomba kemcho mudi na demu wake babra,Simba wanachoambulia Ni mshahara choo, I mean kulipwa mishahara tu, hata miundombinu Ina jina lake mo arena ,mo boxing atc, hata afya za wachezaji wao Ni mbovu mcheki tshabalala utafikiri anakula ugoro,
Nyie endeleeni na makundi yenu yasiyo na kikombe na. Hapa ndani huna kombe hata kusingizia.
Pia hii UNBEATEN inawauma mno ,hii inaweza kuvunja record ya dunia ya mechi 1000 UNBEATEN
Tuje kwenye ishu ya bahasha jibu maswali yafuatayo
1. Aisha manula like fataki la ki Aziz alihongwa aachie?
2.Yanga aliwahonga Azam ili wamfunge Simba au aliwahonga Simba ili wafungwe na Azam
3.Yanga aliwahonga kmc watoke droo na Simba au aliwahonga Simba ili watoke droo na kmc,
Wakati unajibu fikiria hicho kichwa ulipewa Cha Nini na pia una uhakika kichwa chako kimejaa Nini ndani yake.
 
Hizi hesabu kama mtu anakula mihogo hawezi kukuelewa
 
Personally I like the lack of noise in Tanzanian women’s football.

It’s just pure football, isn’t it? No evil propaganda, no wasemaji and their shenanigans, no chawas (well, certainly not as many). Pure football!
 
Najua unaumia,jikaze mkuu....yatapita
 
Bora ungenyamaza tuu sio lazima kila kitu ujibu maana ukweli unauma. Huo ubingwa Simba aliuchukua miaka 4 mfululizo sasa nyie ndo wa kwanza? Shida hapa ni nyie kula hizo pesa wanazokula watani wenu kwny hizo robo fainal zake.
 
Dah! Hii comment umeupiga mwingiiii
 
Mikia fc kelele nyingi sana wakati mashindano yenyewe mnapita kwa kengekewa tu.
Subirini makundi yapangwe vibonde nyie mkasindikize wengine.
Mlidhani Florentina atakwepo CAF.
Mihogo fc malizaneni kwanza na sherehe za unbeaten kwanza ndo tuongee na nyie
 
Mihogo inachemka hapo kwenye maji ya chumvi
Tulizeni mshono nyinyi mkia fc leo muone mpira unavyochezwa hatuangalii historia ya timu. Ushindi leo ni lazima iwe mvua iwe jua
 
Raha ya kila shabiki ni kuona timu yake ikiibuka na makombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…