uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Huku Simba Queens wakiendeleza mpira wao wa papatu papatu hadi kufikia dakika ya 80 ya mchezo bado kawempe Muslim wameendelea kushika uongozi wa kuwania nafasi ya tatu.
Simba Queens ambayo inaendeleza ubaya ubwela ugenini wameamua kulivua taifa nguo na kukimbia nazo kwa kufungwa kiholela kama team isiyo na malengo.
Ikumbukwe msimu uliopita JKT Queens iliyosheheni vijana wazawa ilirejea na ushindi murua usio na shaka nadhani ni wakati umefika Sasa kwa team za football girls kuwaamini wazawa na kuachana na kina corazone
Nawasilisha!
Soma Pia: Simba Queens Yakosa Kufuzu CAF WCL, Yabamizwa 3-2