Simba Queens yachabangwa goli 2-0 dhidi ya Kawempe Muslim mbele ya Karia

Simba Queens yachabangwa goli 2-0 dhidi ya Kawempe Muslim mbele ya Karia

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Huku Simba Queens wakiendeleza mpira wao wa papatu papatu hadi kufikia dakika ya 80 ya mchezo bado kawempe Muslim wameendelea kushika uongozi wa kuwania nafasi ya tatu.

Simba Queens ambayo inaendeleza ubaya ubwela ugenini wameamua kulivua taifa nguo na kukimbia nazo kwa kufungwa kiholela kama team isiyo na malengo.

Ikumbukwe msimu uliopita JKT Queens iliyosheheni vijana wazawa ilirejea na ushindi murua usio na shaka nadhani ni wakati umefika Sasa kwa team za football girls kuwaamini wazawa na kuachana na kina corazone
Nawasilisha!

Soma Pia: Simba Queens Yakosa Kufuzu CAF WCL, Yabamizwa 3-2
 
Ni bahati mbaya ww mtu yani unabeza kisa upuuzi..hao Simba si wameshakuwa mabingwa wa CECAFA hiyo Yanga wamewahi nini kushinda...
 
Ni bahati mbaya ww mtu yani unabeza kisa upuuzi..hao Simba si wameshakuwa mabingwa wa CECAFA hiyo Yanga wamewahi nini kushinda...
Simba msimu huu wamevurunda sana kalpama sijui shida ni kocha au uongozi mule ndani hili sio la kufumbia macho
 
Ni bahati mbaya ww mtu yani unabeza kisa upuuzi..hao Simba si wameshakuwa mabingwa wa CECAFA hiyo Yanga wamewahi nini kushinda...
Achana nae huyo,mwanamme mzima kaanza kushabikia Yanga Mwaka Jana.
 
Achana nae huyo,mwanamme mzima kaanza kushabikia Yanga Mwaka Jana.
Asa ningeanza kushabikia 1935!?
Simba queens hapana aisee angalau Leo wangeshinda wamfute machozi Karia pale jukwaani
 
Walianza vzr sana msimu sijui tatizo nini...
Amini shida ni uongozi kuanzia kuondoka kambini kwa Mnunka top scorer mi nikajua hapa Kuna shida na team za wanawake ni delicate sana ukitingisha kidogo tu patterns zinaharibika
 
Kwenye football inatokea, wapewe muda msimu huu ionekane mwenendo wao, inatokeaga kuanza msimu vibaya.
Quality ya wachezaji wale mi naamini shida itakuwa iko kwenye uongozi masuala ya maslahi n.k na unajua wanawake morali ikishuka huwa haipandi kirahisi
 
Sio Yanga princess? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga huwa siipi kabisa kwenye league ya wanawake Bora niwape Ciasia queens
Jkt Wana wasichana pale wamewapa ajira plus uwanja si umeona Jana msimu huu wako vema
 
Back
Top Bottom