Simba queens yaondolewa kuwania nafasi kucheza cafcl upande wa wanawake

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya
Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba
"Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko
 
Kenyapolice hogeera sana
 
Wale wachezaji wa utopolo tuliowazoazoa wameleta gundu. Yaani Simba timu ya kushindwa kufuzu kweli? Kipa naye kageuka duka la rejareja
Kipa hapana aisee Bora aliyeingia baada ya kujivunja uongo
 
Sasa tutapata wapi pakuzugia jameni,
Pira ugali dagaa
images-15.jpeg
 
Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya
Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba
"Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko
Safi sana
 
Yule comedy wao msemaji alikuwa anawacheka Azam kutolewa kwa upande wanaume lakini Sasa timu yao ya kiume aina tofauti na ya wanawake na wao inakuja thank you kwa kushiriki siku sio nyingi!
 
Itakuwa habari mbaya kabisa watamuua pasi milioni wajitahidi hata wakatokee kwenye kituo Chao Cha Kila siku
 
Mi yanga ila Simba akipigwa na walibya kama walivyopigwa Wala urojo kina yakhe itakuwa aibu kwa nchi Simba wapambane
Kwa Azam nawapongeza kwa kujivunja maana pyramid wangewapiga kama ngoma
 
Back
Top Bottom