Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

Hizo timu zote zilizofuzu.. bingwa anaenda kuwa esperence... kama unabisha tunza hii comment
Hao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
 
Hao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
Kwenye ligi Yao wao ndio wanaongoza ligi wamecheza michezo 19, Kwa kifupi kuanzia hatua ya makundi kulikuwa hakuna team ambayo kwenye ligi Yao imesimama kisa Corona

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Moja wapo, ila nafasi kubwa nampa Wydad
 
Moja wapo, ila nafasi kubwa nampa Wydad
Hakunaga kutabiri Kwa namna hiyo mkuu, mfano ligi yetu ina timu 18 alafu useme Kati ya Yanga,Simba na Azam ndio atapatikana bingwa japokuwa umeacha timu zingine 15 Ila Huo utabiri utakuwa ni wa ajabu
 
Mkuu mtoano hauna kibonde,ukiotewa umekaa.Hapo tukutane na yeyote yule hakuna kuogopa
 
Hakunaga kutabiri Kwa namna hiyo mkuu, mfano ligi yetu ina timu 18 alafu useme Kati ya Yanga,Simba na Azam ndio atapatikana bingwa japokuwa umeacha timu zingine 15 Ila Huo utabiri utakuwa ni wa ajabu

Haya mkuu Anigrain, wacha tuwait.
 
Hao wana ligi kwao?. Timu zote zenye ligi iliyosomama sababu ya Corona haiwezi kuwa sawa sana
Ligi kusimama kwa ajili ya corona. sababu hiyo hutolewa na utopolo. Ligi karibu zote Afrika zinaendelea kama kawaida na zipo ukingoni, na baadhi tayari mabingwa wameshaanza kupatikana
 
Haya mkuu Anigrain, wacha tuwait.
Issue sio Kuwait issue ni wewe kubashiri timu moja ambayo unahisi itakuwa bingwa, sa wewe unalist timu 4 mkuu unazani nani atakosea hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…