Simba S. C yaachana rasmi na John Bocco kama mchezaji

Simba S. C yaachana rasmi na John Bocco kama mchezaji

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
1718619984421.jpg
 
John Boko.
Ni striker ambaye nampa heshima zote.
Alikuwa amekamilika Kwa kila kitu ambacho striker anatakiwa kuwa nacho.

Namtakia kila la heri kwenye team nyingine aendako.
Au katika career nyingine atayoamua ku deal nayo
 
Kwa sasa John Bocco ni mwalimu wa timu ya vijana chini ya miaka 17 pale msimbazi.
 
Hivi mnawaonaje mashabiki wenu? Tangu January Boko anachukua kozi ya ukocha. Leo Tangu asubuhi mmeweka watu roho juu kisa Thank you ya Boko?
Wanadivert attention za wanathimba, wajumbe wa bodi wamejiuzuru halafu amewateuwa tena kwa nini hakukataa kujiuzuru kwao?

Mtego waliomtegea Murtaza umefeli, Murtaza ni mtoto wa mjini kuliko huyo Mwamedi.
 
John Boko.
Ni striker ambaye nampa heshima zote.
Alikuwa amekamilika Kwa kila kitu ambacho striker anatakiwa kuwa nacho.

Namtakia kila la heri kwenye team nyingine aendako.
Au katika career nyingine atayoamua ku deal nayo
Aende wapi wakati yupo na timu ya vijana muda mrefu?

Huyu Kanjibahi anawafanya nyinyi mambumbumbu kweli.
 
Jamaa kala mshahara wa bure wa miezi zaidi ya 6. Hapo bado Kramo aliyekula mshahara wa mwaka mzima, akitaka kurudi wanamzuia ili timu iendelee kuporomoka. Bado tusubiri tuone Manula naye atakula mshahara wa bure wa miezi mingapi huku akiendelea na mishe zake
 
Jamaa kala mshahara wa bure wa miezi zaidi ya 6. Bado tusubiri tuone Manula naye atakula mshahara wa bure wa miezi mingapi huku akiendelea na mishe zake
Vip tunaenda na Mangungu au Mo
 
Back
Top Bottom