Sasa vijana kama hawa akimsukuma mtu kama Onyago anaanguka mwenyewe halafu inakuja kuonekana foulSi kweli, faulo za wazi kabisa
Acha tu haya masikhara haya hayafai🤣🤣🤣back pass ilitaka kuzama kwenye net
Halafu kuna mtu anasema tumepigwa.....Kibu ni suala la mda tu yuko vizuri kuliko bocco
Akili za mpira kaacha kwenye basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bocco kila saa offside anakimbia kama bata
Kweli manKibu ni suala la mda tu yuko vizuri kuliko bocco
kibu anapresha bado akizoea utamwonaHalafu kuna mtu anasema tumepigwa.....
Kama zitauana basi maana yake hata ya msimu huu ni kaliSimba hii na ya msimu uliopita zikikutana zitauana hii ni hovyo sana