Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Sasa unajivunia kutolewa na river. Mzee wa Nyuma mwiko.
😂😂😂 ebo. Una umri wa miaka mingapi!?
 
Rivers hana tofauti yoyote na Mlandege Fc, wewe hukuona ile Plateau Fc ya Nigeria aliyekuwa anaongoza ligi alichofanywa na Simba Sc???


Kwahiyi unajivunia kutolewa na Rivers?
 
Rivers hana tofauti yoyote na Mlandege Fc, wewe hukuona ile Plateau Fc ya Nigeria aliyekuwa anaongoza ligi alichofanywa na Simba Sc???
Mwambie huyo kibogoyo. Jamaa ni bonge la ndezi. Simba ni timu ya wasomi. Yanga ni timu wachawi na akina Mzee mpili.
 
Hivi wana Simba wenzangu hatuwezi kujadili hoja bila kutaja taja maneno machafu? Inakuwaje mnapendelea kutamka maneno yasiyofaa kwa kiwango hichi?
 
Kwani yanga mnavyojiita "wakimataifa" hua mna maanisha nini, Kama mnaanza kujiengua kwenye hizo rank baada ya kupokea vipigo?
Tupo kwa hili la timu ya mlandege kwa kumuwekea full kikosi na kutoa nae sare huku kwenye msimamo ikiwa ni timu ya 10
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mkuu sina mbavu, iyo ni dakika ya ngap goli limepatikana?
Mbavu utazitoa wapi na hiyo miko yenu?

Mwenzako Faisal hana mbavu pia, kwahiyo usjinione kuwa tofauti sana.
 
Simba tulienda Nigeria tukashinda 1-0 dhidi ya Plateu!
Hiyo kutoa Sare Tena ya 0-0 sio ajabu!Mlandege waliingia kuzuia na wapate Sare,ndio maana beki wao amekuwa man of the match!
Sasa ndugu zetu mnatoaje Sare ya 2-2?
 
Sio wewe tu ambaye huna mbavu, feisal leo alivua shati naye hana mbavu kama wewe
Wale waliowaingiza kipindi cha pili ndio usajili mpya au tusubiri maana tumepigwa mchana kweupe!
simba nguvu yetu moja
Mirinda nyeusi yetu moja
 
Wale waliowaingiza kipindi cha pili ndio usajili mpya au tusubiri maana tumepigwa mchana kweupe!
simba nguvu yetu moja
Mirinda nyeusi yetu moja
Simba ni club yenye mipango inafanya mambo kisomi na ndio maana masnitch wanabaki dilema
 
Mwiko nao ni tusi, seriously?
Kama kutumia hayo maneno mwiko, kabwili fc, mpalange fc, tigo fc n.k inawasaidia kupunguza masononeko mliyonayo basi endeleeni, ila mnaonesha dalili zote za watu waliyokata tamaa na timu yao ndio maana mmetafuta njia mbadala ya kupata comfort
 
Kaeni mjitafakari sana na hii timu yenu ya kufanya majaribio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…