Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Naam mpira umeanza, ni mnyama simba vs mlandege .
 
Hawa mlandege wananitisha, wanajua kugongeana.
 
Sakho inabidi aache utoto wa kupiga kwa ugoko
 
Woooo what a miss cris mugalu
 
Mpaka kufika dakika 25 inatakiwa simba iwe inaongoza
 
Dk ya 10 Simba inaonekana kuutawala mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…