Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Kwa style hii ya wazenji ndomana kimataifa hawawezi kutoboa, hakuna refa mwenye akili anaweza wavumilia mirafu yao ya ajabu ajabu! Alafu Morrison analeta ustaa wake
 
Oya fanyeni kweli basi dk ya 70 hiyo
 
Morrison kaamua na yeye kuwafanyia uhuni, Mana ashawasoma ufala wao..
 
Morrison kaamua na yeye kuwafanyia uhuni, Mana ashawasoma ufala wao..
Hapo wakipigwa hâta goli moja tu, roho zitawauma sana maana hilo pira wanalocheza ni la kulala na viatu kabisa.
 
Hii rojo rojo mlandege vipi....Embu ipigeni fasta fasta jama ...Mjue Sisi Mashabiki Hatujazoea mpaka sasa tupo Sare Sare.!
 
Kwenye mpira lolote linatokea
Mlandege watafanya vurugu ila watapiga goli za kutosha

Ingekuwa simba wameanzisha wachezaji wa kawaida, basi wangetoa hata sare ila ndo hivyo hawana nguvu ya kushindana na timu za Bara
 
Back
Top Bottom