Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Hakuna sub yoyote ya wachezaji waanaotakiwa kujaribiwa? Weka mnigreia hapo tumuone hizi dakika za lala salama.
 
Kwahiyo jamaa wapo pungufu ila bado hakuna goli?? Simba kunani huko??
Majamaa wanacheza sana mpira wa kihuni,kuna yule beki anayekunja mguu jezi anacheza sana rafu mbaya ,alianza kwa Sakho na akapata kadi ,akamchezea tena Mzamiru angepata kadi ya njano ya pili
 
Kibu anakosa nafasi ya wazi hapa
 
Back
Top Bottom