Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Muda upi huo mkuu? Simba wana shoot on target ngapi mechi nzima hata uwe na wasiwasi??
Mzee hata km hawakuwa na shot hata moja yani hata moja lkn second half walikuwa threat sana na wao ndo wanaotamba mtaani muda huu kwa sababu ya kipindi cha pili,kiukweli kuna mahali walituotea kipindi cha pili hatukuwa na nyendo kabisa... kongole sana kwa kibwana kwasababu walikaona kadogo wakataka wakaonee lkn kijana hatingishwagi kozembe.
 
Vipi Morison? Naona anabaki na rekodi ya kuwafunga Simba tu katika hizi dabi
Na record kubwa zaiiidii ni kuwakera yanga

Kuwashinda kwenye kesi ambayo mlidanganywa mtashinda
 
This is football game brother
And it's a Derby mkuu

My man of the match ni Joash Achieng, Huyu ndio kaipeleka sare hii game
Sema refa kawapa utopolo sare wewe. Waamuzi ndio wameipa utopwinyo sara maana goli la halali limefungwa kabsa hali shida. Na filimbi ya ajabu hatukujua ya nn
 
Plan za Simba hakuna hata mmoja aliyezielewa humu

1. Simba walichofanya ni kutafuta njia ya kutoka na point yoyote ile iwe point zote 3 au point 1, leo Simba amefanikiwa kuondoka na point moja.

2. Kingine Simba plan yake ni kupunguza gap kwa Yanga either kumfunga Yanga ama kutoka naye droo, hii maana yake ni kwamba ni njia za kutafuta Ubingwa wa NPL Tanzania.

Plan za Simba leo zimefaulu
 
Simba kaingia na kacheza kama under dog
[emoji23][emoji28] Mna lazimisha sana hili neno "underdog" wakati ukweli mnaujua kama mmeponea chupu chupu leo, kipindi cha pili mlitamani mpira uishe kwa kifupi hamkuamini mlichokutana nacho, kulingana na mlivyokua mkiaminishwa na mazuzu wenzenu [emoji23][emoji23]
 
This is football game brother
And it's a Derby mkuu

My man of the match ni Joash Achieng, Huyu ndio kaipeleka sare hii game
Yes it is, ila Yanga wanacheza wakiwa relaxed sana, not enough offensive.
 
Mkia Wata sema yule mchepuko wa boss kuzuiliwa uwanjani kume changia wao kutoa sare
 
Sasa mbona unaleta utani wa kweli we kolo
Mkuu unajua tunakuheshimu sana kwa mawe yako kule Jamii Intelligence. Lakini kumbe kila kizuri kina mapungufu yake. Kweli shilingi Ina pande mbili.

Mkuu wawe uko upande wa Mazuzu duuuh !

Halafu si ajabu pia ni shabiki wa Arsenal. Duuh!

Sasa Ni nini kinachokupa furaha mkuu km huku umefeli kiasi hiki.

Mwanamme rijali akisema mm ni SIMBA picha inayokuja kichwani Ni ya mnyama fulani mbabe Sana na asiyeshindwa kule porini.

Karibu unyamani.
 
Sema refa kawapa utopolo sare wewe. Waamuzi ndio wameipa utopwinyo sara maana goli la halali limefungwa kabsa hali shida. Na filimbi ya ajabu hatukujua ya nn
One day jaribu kuchambua mpira kwa kuweka unazi pembeni mkuu

Naheshimu sana michango yako
 
Pia Mayele kamtesa sana Onyango. Mara kadhaa wamelazimika kumchezea madhambi
Yaani humu wimbo wao mkubwa Mayele Mayele Mayele na wanaona waliomdhibiti Mayele ndio mashujaa wao lakini wanashindwa kukaa kufikiria vile ambavyo mafowadi wao walivyokuwa wako chini ya uangalizi wa mabeki wa Yanga. Yaani wanaonekana kabisa waliingia uwanjani wakiwa na 100% ya kufungwa na Yanga. Na ndio maana wanaimba kutafuta mashujaa wao leo wakina nani. Mechi imeisha kwa sare lakini wanajisifia utafikiri wameshinda wao
 
Kwa kawaida yanga wana uzuzu wa kuwapa wachezaji ufalme ambao hawastahili, rejea msimu uliopita namna ambavyo carinhos aliimbwa, fiston Abdul razack, Michael sarpong [emoji23] etc .. sasa wakina aucho kidogo wameonesha matumaini lakini kiuhalisia bado wakawaida sana, na ndicho kilichokua kikiwapa jeuri yanga na kufikia hatua ya kuwaita Simba underdog [emoji23][emoji23] .. kila wakisikia "mayele" vichwa vinavimba, sasa wamekuja kukutana na uhalisia ulivyo, kilichobaki ni kujifariji tu kwamba Simba alikua underdog kwenye mchezo wakati wanajua fika kuwa wameponea kwenye tundu la sindano hususani kipindi cha pili. [emoji23][emoji23]
 
Plan za Simba hakuna hata mmoja aliyezielewa humu

1. Simba walichofanya ni kutafuta njia ya kutoka na point yoyote ile iwe point zote 3 au point 1, leo Simba amefanikiwa kuondoka na point moja.

2. Kingine Simba plan yake ni kupunguza gap kwa Yanga either kumfunga Yanga ama kutoka naye droo, hii maana yake ni kwamba ni njia za kutafuta Ubingwa wa NPL Tanzania.

Plan za Simba leo zimefaulu
Kwahiyo kuna siku Simba huwa insingia uwanjani na plan za kufungwa?
 
Back
Top Bottom