Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Yanga inapaswa kutafuta kocha mwingine au Naby abadilike, kuanzia dakika ya kwanza Yanga walikuwa na total control ya game ila hawakuwa wanaleta hatari za kutosha Langoni mwa Simba. Yanga walikuwa wanapiga pasi nyingi ambazo hata hazina maana yoyote.
Simba waliingia na wamecheza kama under dog, wao pasi hawaziwezi na wala hawana wachezaji, ila walijaribu kumtumia Morrison kucheza mipira mirefu, na hata Yanga walikuwa wanashindwa kumzibiti vizuri. Kwenye hii mechi, Simba na ubovu wao angalau wamefanikiwa kupata point.
Ubovu unaujua wewe uliekaa nje ya dimba? Eti simba na ubovu wake acheni kujitutumua mtakuja kupata heart attack
 
Goli gani lililokataliwa mkuu??
Lile goli halikuingia......? Mpira wenyewe nime angalia kwa kuchungulia tena nieanzaia dk 60,ila yote kwa yote kwa dk nilizo ziona Simba walikuwa bora, Yanga walikosa mechi fitness sijajua kipindi cha kwanza ilikuwaje.
 
Muulize aucho alivyopotezwa hakuna cha Dr wala professor
Udokta wenyewe kapatia wapi si ndo mambo ya kina msukuma haya?

Mchezaji anacheza mpira mibovu utafikiri miguu yote ya kushoto
 
Ujinga mtupu yani unafurahia tobo hahaa kweli mmeishiwa. Kiko wapiii sasa kujisifiaaaaaa Mayele mayele leo nakwambia kawa Mapele
Achana na tobo vipi ile re-bounce ikawa offside
 
Yanga inapaswa kutafuta kocha mwingine au Naby abadilike, kuanzia dakika ya kwanza Yanga walikuwa na total control ya game ila hawakuwa wanaleta hatari za kutosha Langoni mwa Simba. Yanga walikuwa wanapiga pasi nyingi ambazo hata hazina maana yoyote.
Simba waliingia na wamecheza kama under dog, wao pasi hawaziwezi na wala hawana wachezaji, ila walijaribu kumtumia Morrison kucheza mipira mirefu, na hata Yanga walikuwa wanashindwa kumzibiti vizuri. Kwenye hii mechi, Simba na ubovu wao angalau wamefanikiwa kupata point.
This is football game brother
And it's a Derby mkuu

My man of the match ni Joash Achieng, Huyu ndio kaipeleka sare hii game
 
Jamaa wanachekesha sana Hawa
Yaani humu wimbo wao mkubwa Mayele Mayele Mayele na wanaona waliomdhibiti Mayele ndio mashujaa wao lakini wanashindwa kukaa kufikiria vile ambavyo mafowadi wao walivyokuwa wako chini ya uangalizi wa mabeki wa Yanga. Yaani wanaonekana kabisa waliingia uwanjani wakiwa na 100% ya kufungwa na Yanga. Na ndio maana wanaimba kutafuta mashujaa wao leo wakina nani. Mechi imeisha kwa sare lakini wanajisifia utafikiri wameshinda wao
 
GSM aliwaahidi yanga milion 116, na mimi niliwaambia kwamba hizo hela ni kama picha ya samaki isiyokua na msaada pale ambapo umepatwa na njaa

Niliahidi kuwa nita top up milion 10 endapo nightmare yake ingetimia lakini wapi
 
Back
Top Bottom