This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Tunaongea kwa sababu Simba ni mbovu sana , halafu timu bora yenye Mpaka Dr sijui professor Aucho imeshindwa kupata matokeo.Yaani humu wimbo wao mkubwa Mayele Mayele Mayele na wanaona waliomdhibiti Mayele ndio mashujaa wao lakini wanashindwa kukaa kufikiria vile ambavyo mafowadi wao walivyokuwa wako chini ya uangalizi wa mabeki wa Yanga. Yaani wanaonekana kabisa waliingia uwanjani wakiwa na 100% ya kufungwa na Yanga. Na ndio maana wanaimba kutafuta mashujaa wao leo wakina nani. Mechi imeisha kwa sare lakini wanajisifia utafikiri wameshinda wao
Popote ilikuwa ukikutana na shabiki wa Utopolo anakwambia subiri tarehe 11 mtajua hamjui.
Hakuna shabiki wa Simba alikuwa anapiga kelele, Sisi tulishasema hii ni mechi ya ligi km mechi zingine.
So tunaongea na tunaona Sasa zile kelele zimebuma.
Ooooh tuna Mayele ndo maana leo tunauliza kafanya nn. Oooh Dr Aucho.
Hatushangilii bali tunawacheka kwa dharau.
NB: SIMBA NI BINGWA 2021/2022. MUDA UTASEMA.