Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Mashabiki kama wewe mko wachache humu.Game imebalance hongera kwa timu zote mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki kama wewe mko wachache humu.Game imebalance hongera kwa timu zote mbili.
My opinion were just and trueKwahiyo hapo ndo umeweka ushabiki pembeni?
Ubovu unaujua wewe uliekaa nje ya dimba? Eti simba na ubovu wake acheni kujitutumua mtakuja kupata heart attackYanga inapaswa kutafuta kocha mwingine au Naby abadilike, kuanzia dakika ya kwanza Yanga walikuwa na total control ya game ila hawakuwa wanaleta hatari za kutosha Langoni mwa Simba. Yanga walikuwa wanapiga pasi nyingi ambazo hata hazina maana yoyote.
Simba waliingia na wamecheza kama under dog, wao pasi hawaziwezi na wala hawana wachezaji, ila walijaribu kumtumia Morrison kucheza mipira mirefu, na hata Yanga walikuwa wanashindwa kumzibiti vizuri. Kwenye hii mechi, Simba na ubovu wao angalau wamefanikiwa kupata point.
Huko kimataifa leo wameshangaa ni nani hao wakali kiasi kwamba simba anashangilia DrawPole nyie ambao hamjulikani kimataifa wala kwa wananchi wenzenu. Poleni sana
Utopolo hawana tim isipikuwa ni washirikina na fitina za kizamani.kipa wao alikuwa anapoteza muda anaombea mpira uishe
Habari zake anazo KanouteHivi aucho alikuwepo?
Nadhani umemuelewaHuyu kocha wa simba nae mbabaishaji tu sasa kanoute pale kati wa nini mamaee[emoji35][emoji35]
Lile goli halikuingia......? Mpira wenyewe nime angalia kwa kuchungulia tena nieanzaia dk 60,ila yote kwa yote kwa dk nilizo ziona Simba walikuwa bora, Yanga walikosa mechi fitness sijajua kipindi cha kwanza ilikuwaje.Goli gani lililokataliwa mkuu??
Udokta wenyewe kapatia wapi si ndo mambo ya kina msukuma haya?Muulize aucho alivyopotezwa hakuna cha Dr wala professor
Achana na tobo vipi ile re-bounce ikawa offsideUjinga mtupu yani unafurahia tobo hahaa kweli mmeishiwa. Kiko wapiii sasa kujisifiaaaaaa Mayele mayele leo nakwambia kawa Mapele
Wewe nembe lishaanza kukuwasha.Ubovu unaujua wewe uliekaa nje ya dimba? Eti simba na ubovu wake acheni kujitutumua mtakuja kupata heart attack
Kwamba yule mbwa ni sisi hahahahahaMmecheza mno nje ya uwanja ,, nyie hamna timu zaidi uchawi
Tena hilo kaanza kulifanya mapema sana kwenye kipindi cha kwanzakipa wao alikuwa anapoteza muda anaombea mpira uishe
Sawa topolo kabwiliMy opinion were just and true
This is football game brotherYanga inapaswa kutafuta kocha mwingine au Naby abadilike, kuanzia dakika ya kwanza Yanga walikuwa na total control ya game ila hawakuwa wanaleta hatari za kutosha Langoni mwa Simba. Yanga walikuwa wanapiga pasi nyingi ambazo hata hazina maana yoyote.
Simba waliingia na wamecheza kama under dog, wao pasi hawaziwezi na wala hawana wachezaji, ila walijaribu kumtumia Morrison kucheza mipira mirefu, na hata Yanga walikuwa wanashindwa kumzibiti vizuri. Kwenye hii mechi, Simba na ubovu wao angalau wamefanikiwa kupata point.
Ila mayele sijui leo ataimalizaje siku
Yaani humu wimbo wao mkubwa Mayele Mayele Mayele na wanaona waliomdhibiti Mayele ndio mashujaa wao lakini wanashindwa kukaa kufikiria vile ambavyo mafowadi wao walivyokuwa wako chini ya uangalizi wa mabeki wa Yanga. Yaani wanaonekana kabisa waliingia uwanjani wakiwa na 100% ya kufungwa na Yanga. Na ndio maana wanaimba kutafuta mashujaa wao leo wakina nani. Mechi imeisha kwa sare lakini wanajisifia utafikiri wameshinda waoJamaa wanachekesha sana Hawa
Ndo akili za ki utopolo hizi hata sishangai. Hakuna tusi jipya chini ya jua. Hata mama yako na yy analo sometyms linamuwasha.Wewe nembe lishaanza kukuwasha.