Mzee hata km hawakuwa na shot hata moja yani hata moja lkn second half walikuwa threat sana na wao ndo wanaotamba mtaani muda huu kwa sababu ya kipindi cha pili,kiukweli kuna mahali walituotea kipindi cha pili hatukuwa na nyendo kabisa... kongole sana kwa kibwana kwasababu walikaona kadogo wakataka wakaonee lkn kijana hatingishwagi kozembe.Muda upi huo mkuu? Simba wana shoot on target ngapi mechi nzima hata uwe na wasiwasi??
Mmeloga sana,,, ila tutawapata tu,,Kwamba yule mbwa ni sisi hahahahaha
Na record kubwa zaiiidii ni kuwakera yangaVipi Morison? Naona anabaki na rekodi ya kuwafunga Simba tu katika hizi dabi
Sema refa kawapa utopolo sare wewe. Waamuzi ndio wameipa utopwinyo sara maana goli la halali limefungwa kabsa hali shida. Na filimbi ya ajabu hatukujua ya nnThis is football game brother
And it's a Derby mkuu
My man of the match ni Joash Achieng, Huyu ndio kaipeleka sare hii game
[emoji23][emoji28] Mna lazimisha sana hili neno "underdog" wakati ukweli mnaujua kama mmeponea chupu chupu leo, kipindi cha pili mlitamani mpira uishe kwa kifupi hamkuamini mlichokutana nacho, kulingana na mlivyokua mkiaminishwa na mazuzu wenzenu [emoji23][emoji23]Simba kaingia na kacheza kama under dog
Yes it is, ila Yanga wanacheza wakiwa relaxed sana, not enough offensive.This is football game brother
And it's a Derby mkuu
My man of the match ni Joash Achieng, Huyu ndio kaipeleka sare hii game
Kweli maisha yanabadilika...mikia yakushangilia saree
Mkuu unajua tunakuheshimu sana kwa mawe yako kule Jamii Intelligence. Lakini kumbe kila kizuri kina mapungufu yake. Kweli shilingi Ina pande mbili.Sasa mbona unaleta utani wa kweli we kolo
One day jaribu kuchambua mpira kwa kuweka unazi pembeni mkuuSema refa kawapa utopolo sare wewe. Waamuzi ndio wameipa utopwinyo sara maana goli la halali limefungwa kabsa hali shida. Na filimbi ya ajabu hatukujua ya nn
Yaani humu wimbo wao mkubwa Mayele Mayele Mayele na wanaona waliomdhibiti Mayele ndio mashujaa wao lakini wanashindwa kukaa kufikiria vile ambavyo mafowadi wao walivyokuwa wako chini ya uangalizi wa mabeki wa Yanga. Yaani wanaonekana kabisa waliingia uwanjani wakiwa na 100% ya kufungwa na Yanga. Na ndio maana wanaimba kutafuta mashujaa wao leo wakina nani. Mechi imeisha kwa sare lakini wanajisifia utafikiri wameshinda wao
Hayo ni matokeo uliyokuwa nayo mfukoni mkuuYes it is, ila Yanga wanacheza wakiwa relaxed sana, not enough offensive.
Simba Nuksi Sana Wamembana GSM Akatupiwa Mabango HukoRaha pekee waliyonayo ni kuwa na wapiga kelele
Kwahiyo kuna siku Simba huwa insingia uwanjani na plan za kufungwa?Plan za Simba hakuna hata mmoja aliyezielewa humu
1. Simba walichofanya ni kutafuta njia ya kutoka na point yoyote ile iwe point zote 3 au point 1, leo Simba amefanikiwa kuondoka na point moja.
2. Kingine Simba plan yake ni kupunguza gap kwa Yanga either kumfunga Yanga ama kutoka naye droo, hii maana yake ni kwamba ni njia za kutafuta Ubingwa wa NPL Tanzania.
Plan za Simba leo zimefaulu
Sawa mkuu ila leo ishukuriwe michongo maana ukweli haufichikiOne day jaribu kuchambua mpira kwa kuweka unazi pembeni mkuu
Naheshimu sana michango yako
Moja ya games nilizowahi kuenjoy baina ya Simba na yanga ni hii .. bonge moja la gameTukiweka unazi pembeni aisee hii ilikuwa bonge moja la mechi kwa pande zote mbili
Quality game