Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Tunaongea kwa sababu Simba ni mbovu sana , halafu timu bora yenye Mpaka Dr sijui professor Aucho imeshindwa kupata matokeo.

Popote ilikuwa ukikutana na shabiki wa Utopolo anakwambia subiri tarehe 11 mtajua hamjui.

Hakuna shabiki wa Simba alikuwa anapiga kelele, Sisi tulishasema hii ni mechi ya ligi km mechi zingine.

So tunaongea na tunaona Sasa zile kelele zimebuma.

Ooooh tuna Mayele ndo maana leo tunauliza kafanya nn. Oooh Dr Aucho.

Hatushangilii bali tunawacheka kwa dharau.

NB: SIMBA NI BINGWA 2021/2022. MUDA UTASEMA.
 
Sababu nataka kocha wa Yanga kubadilika ni kuwa aliwachukulia Simba kama Buguruni Fc, pasi nyingi na hakuwa na pressure ya game.
 
Kwakuwa wewe si mfuatiliaji wa mambo haya ngoja nikupe elimu.

Yanga ndio mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu fact

Pili kwenye hizi derby Yanga ndio imeifunga Simba mara nyingi zaidi fact.

Simba ni genge la wapiga kelele tu, hata hii kupata sare kama hujafuatilia mechi utajuwa Simba leo wameshinda mechi.

Kwa kifupi ni kusanyiko la mambumbumbu.
 
Mbona wewe unafunga si unajinasibu uko kimataifa mbona hamna kitu
Kwani mkuu ni uongo tuko kimataifa. Au Wewe hujui.

Halafu sisi tuna watu saizi yetu km Al Ahly, Zamalek, nk watu wanaocheza mpira unaoeleweka. Hawa Wana mbinu so tunajua tutadili nao vipi. Sasa nyie mazuzu mnapiga uende mbele. Mnapiga chenga nyiiiingi halafu zote mnajipiga wenyewe. Ili muambiwe mnaupiga mwingi.
 
GSM aliwaahidi yanga milion 116, na mimi niliwaambia kwamba hizo hela ni kama picha ya samaki isiyokua na msaada pale ambapo umepatwa na njaa

Niliahidi kuwa nita top up milion 10 endapo nightmare yake ingetimia lakini wapi
Hapa kuna mambo mawili unayo aidha huzijui simba na yanga vizuri(yaani umeanza kushangilia mpira jana) au ushabiki unakusumbua.

Siku zote kwenye games zozote kubwa hamasa ya fedha imekua ikiwepo.

GSM sio mtu wa kwanza kuahidi kua Yanga ikishinda atampa zawadi.

Hata ile March 8 mkuki wa moto wa BM3 yanga waliaidiwa 500M na GSM ikiwa kama akishinda mechi na kweli akashinda.

Juzi kati hapa TP Mazembe waliaidiwa hela na boss wao ikiwa kama wata qualify to the group stages.

Vitu vingine unaletaga humu jukwaani vibakuaga havina maana..shida yako ubishane ujinga tu.
 
Simba kaingia na kacheza kama under dog
Mnaanza kulitumia hilo jina vibaya sasa, under dog ni team ambayo kule CAF haitambuliki.

Unawezaje kuiita Simba Sc under dog ikiwa inatambuliwa na CAF kama club kubwa?
 
KWANINI YANGA ILIYO BORA HAIJAIFUNGA HII SIMBA MBOVU.

MAZUZU NAOMBA JIBU
 
All in all defensively Simba walikuwa superb sana leo, Onyango ni mtu na nusu, Henock Inonga atafutiwe mchuchu mkaliiiii ampunguzie uchovu wa mechi kwa siku hizi chache za mapumziko kabla hajarudi kwenye majukumu yake ya kawaida.
 
Hongereni simba kwa kupata sare,Haya matokeo kwenu ni favorite Sana na mna haki ya kutamba kama mnavyofanya.
 
All in all defensively Simba walikua superb sana leo, onyango ni mtu na nusu, henock inonga atafutiwe mchuchu mkaliiiii ampunguzie uchovu wa mechi kwa siku hizi chache za mapumziko kabla hajarudi kwenye majukumu yake ya kawaida. [emoji23]
Hongera sana bro kwa droo.
 
Upepo wa Mayele unaenda kukata kama ilivyokua kwa Balama Mapinduzi
 
Ha ha haaa .....wa hapa hapa!!
 
All in all defensively Simba walikua superb sana leo, onyango ni mtu na nusu, henock inonga atafutiwe mchuchu mkaliiiii ampunguzie uchovu wa mechi kwa siku hizi chache za mapumziko kabla hajarudi kwenye majukumu yake ya kawaida. [emoji23]
Kamsindikiza mayele nje ya uwanja halafu anawaambia nileteeni mwingine[emoji38]
 
Yanga ni kama mke mkorofi wa bondia anayecheza mechi za kimataifa.
Akiwa nyumbani anajinafasi na hadi kujiita bingwa wa kihistoria lakini mumewe huko nje anawachapa ngumi vidume wenzie
 
Ila kwa namna Yanga walivyojipanga na mashabiki kujihakikishia, leo ilibidi washinde. Ukizingatia wanaiita Simba ni mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…