Nimesikitishwa sana na Yule Lainzmen(Mshika Kibendera Kipindi cha Pili pale aliposimamisha Kibdendera Akiashiria Faulo,Ila Pia Cha Kushangaza tena refa Akweka Free kick....
Ni Maana Yake Au Tafsiri yake....
Ina Maana Pale Kanoute Angefunga Refa Angesema Sio goli kwa Kufuata Muongozo wa Mshika Kibendera!
Wakati ShutiKimepigwa Kipa Katema Mshambuliani kaja Kumalizia Mshika Kibdendera ananyoosha kuwa Kulikuwa na Kuotea....
Hii ni Hatari sana Sio ya Kunyamazia kabisa!
Hata Kama Goli Halikuingia Ina Inafikirisha na Kuona Mpango/Mapenzi fulani!
Likemewe/Mshika Kibendera Akemewe!Ndio akemewe ndio maana Refa akaweka Free kick ila ingekuwa goli na Kibendera kimesimama duu...Ndio Maana Nasema Akemewe maamuzi yalitofautiana