Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Mkuu, kwa namna walivyokuwa wanajigamba na walivyokuwa wanaizungumzia shit simba nilijua leo wanashinda. Jana nimetoka Mbeya kuja Arusha utadhani basi zima la Arusha Expresse walikuwa mashabiki wa Yanga. Mpaka nikajua leo tunapigwa, ikabidi niwe mpole [emoji16]
Sasahivi watakuwa wanaongea ila moyoni mwao wamegundua Simba Sc ni ile ile.
 
Nimesikitishwa sana na Yule Lainzmen(Mshika Kibendera Kipindi cha Pili pale aliposimamisha Kibdendera Akiashiria Faulo,Ila Pia Cha Kushangaza tena refa Akweka Free kick....
Ni Maana Yake Au Tafsiri yake....
Ina Maana Pale Kanoute Angefunga Refa Angesema Sio goli kwa Kufuata Muongozo wa Mshika Kibendera!
Wakati ShutiKimepigwa Kipa Katema Mshambuliani kaja Kumalizia Mshika Kibdendera ananyoosha kuwa Kulikuwa na Kuotea....
Hii ni Hatari sana Sio ya Kunyamazia kabisa!
Hata Kama Goli Halikuingia Ina Inafikirisha na Kuona Mpango/Mapenzi fulani!
Likemewe/Mshika Kibendera Akemewe!Ndio akemewe ndio maana Refa akaweka Free kick ila ingekuwa goli na Kibendera kimesimama duu...Ndio Maana Nasema Akemewe maamuzi yalitofautiana
 
Simba imebakia kwenye mitandao, pale hakuna timu.
Sawa na leo umecheza na hewa sio..? 😂😂 utopwiiiii, utopwinyo. Mapele leo kakutana na wanaume maanyenye. Fei toto akitaka kubinua binua miguu analuta wanaume washa fanya yao 😂😂
 
Wa michongo hao marefa. Wanapumzisha mpira watu wapo kwenye box wanataka kufunga😂😂
Nimesikitishwa sana na Yule Lainzmen(Mshika Kibendera Kipindi cha Pili pale aliposimamisha Kibdendera Akiashiria Faulo,Ila Pia Cha Kushangaza tena refa Akweka Free kick....
Ni Maana Yake Au Tafsiri yake....
Ina Maana Pale Kanoute Angefunga Refa Angesema Sio goli kwa Kufuata Muongozo wa Mshika Kibendera!
Wakati ShutiKimepigwa Kipa Katema Mshambuliani kaja Kumalizia Mshika Kibdendera ananyoosha kuwa Kulikuwa na Kuotea....
Hii ni Hatari sana Sio ya Kunyamazia kabisa!
Hata Kama Goli Halikuingia Ina Inafikirisha na Kuona Mpango/Mapenzi fulani!
Likemewe/Mshika Kibendera Akemewe!Ndio akemewe ndio maana Refa akaweka Free kick ila ingekuwa goli na Kibendera kimesimama duu...Ndio Maana Nasema Akemewe maamuzi yalitofautiana
 
Sio furaha mliaminishwa sana na zeruzeru nyinyi bora kuliko simbaila sasa mnaanza kujua kua simba ni dude kubwaaaa sana ukitaka kupambana ujipange hasa
Kuaminishwa nini?! Kwani tulivyowatungua kwenye ligi kuu huyo unayesema alituaminisha, alikuwepo?! Ni mara ngapi nimewatandika wakati Yanga ikiwa nyonge na huyo unayemuita Zeruzeru akiwa huko huko kwenu? Ukweli ni kwamba, issue sio zeruzeru bali hata wenyewe hamna imani na timu yenu!! Kilichowakuta leo ni kama kilichokuwa kinatokea Yanga miaka 3-4 iliyopita kwamba mara nyingi tulikuwa tunaenda uwanjani kama underdog na hivyo ilipokuwa inatokea sare, tulikuwa tunashangilia kama mlivyoshangilia nyie leo hii kwa sababu hamkuwa na matumaini ya kuchomoka!
 
Hicho kikosi cha kuinyanyasa Simba Sc kama mlivyokuwa mnatamba kiko wapi? Shida yenu mnaaminishwa ujinga😅.

Halafu aliyeponea chupuchupu ni UTOPOLO, simba hakuwa na presha kabisa na hii mechi.
Kwahiyo nanyi mkaingia mchecheto kwa kuihofia timu iliyoaminishwa ujinga sio?! Hivi mliingia mchecheto kwa sababu tuliaminishwa ujinga au bado mnakumbuka kichapo cha ngao ya jamii?! Hapo alituaminisha nani?

Mtajitia tu lakini mlikuwa matumbo joto! Na sio kwa sababu Yanag waliaminishwa ujinga bali ni kwa sababu mlifahamu mwaka huu timu hamna!!
 
Tunawashangaa nyie ambao mlijitanabaisha kuwa simba mtaifunga mbona hamjaifunga sasa maana mlikua na mbwembwe ooh kwa simba hii tutajizolea magoli kiko wapiii. Simba is anaza my bro
Makolo ni watu wa ajabu sana! Ina maana ni jambo jipya kwenu kusikia timu ikitamba kwamba itashinda, au?! Au ni kweli nanyi mlikuwa mnaipa nafasi kubwa Yanga kwa sababu bado mnakumbuka 1-0 ya Ngao ya Jamii huku timu yenu ikionesha wazi bado tia maji tia maji?

Ukweli mchungu ni kwamba, kauli zenu zilizotawala hapa baada ya mechi ni kauli za ki-underdog ambazo hata Yanga tumezitumia sana wakati tulipokuwa tunaingia uwanjani na kuwapa nafasi kubwa Makolo kushinda lakini mwisho wa siku, mechi inaisha sare na hapo kauli zetu zikaw hizo hizo "...si mlikuwa mnasema mtashinda, tena kwa goli nyingi"! Enzi zile mngetoka mmenuna lakini leo "...mbona mmeshindwa! Mliaminishwa ujinga" na bla bla nyingin za ki-underdogo kibao!
 
Kwahiyo nanyi mkaingia mchecheto kwa kuihofia timu iliyoaminishwa ujinga sio?! Hivi mliingia mchecheto kwa sababu tuliaminishwa ujinga au bado mnakumbuka kichapo cha ngao ya jamii?! Hapo alituaminisha nani?

Mtajitia tu lakini mlikuwa matumbo joto! Na sio kwa sababu Yanag waliaminishwa ujinga bali ni kwa sababu mlifahamu mwaka huu timu hamna!!
Kama haujasimuliwa kuhusu mechi ya leo, nadhani Utakuwa unajua aliyekuwa tumbo joto.
 
Ni kigezo kipi unachotumia kusema Simba ni mbovu? Timu ipo makundi shirikisho CAF, timu inashika nafasi ya pili kwenye ligi kuu kwa tofauti ya alama mbili inakuwaje mbovu? Sawa timu ina dokta Aucho je wachezaji wote anaocheza nao ni madokta? Simba pia kuna mabunduki ya mk14 wakati yanga hawana hizo bunduki. Simba kuna mawakili wasomi wakati yanga hawana mawakili wasomi. Simba inawazee wa soft touch maleft tiuch yanga hawana
Mkuu hukuelewa lugha ya kifasihi niliyotumia.

Nimemaanisha kwamba hawa mazuzu utopolo wamekuwa wakiimba kuwa wao Ni Bora Sana na sisi SIMBA timu yetu Ni mbovu.

Lkn nashangaa Sasa wanashindwaje kuifunga timu mbovu wakati wao Ni bora.

Nb:man of the match Ni Referee Bw Sasi
 
Tunawacheka tu kwa dharau, hakuna anaye shangilia draw, we are one of the giants wa soka la afrika nyie endeleeni na ligi yenu ya mchangani [emoji23]
Giant hahahahahaha giant unatolewa kamasi na timu ya mwisho (geita )giant unashangilia draw Ili Hali kitakwimu umezidiwa kila kitu kasoro faulo na kupiga mpira nje ya lango

Una u giant gani?
 
Anayefurahia kwa maneno "si mlisema mngetufunga" ndie aliyekuwa tumbo joto!
Unaongelea kilichofanyika uwanjani au maneno ya watu?

Okay ngoja turudi kwenye maneno kama unavyotaka, "Zile kelele kuhusu Mayele, Aucho, Bangala na morroco bado mnazo?"
 
Tangu lini mwenyeji wa mechi akatakiwa awe na mwaliko maalum?
Kwamba ukiwa mwenyeji Hadi refa unantafuta wewe wewe kisa mwenyeji

Kwamba hata mgeni rasmi (kama yupo unatafuta wewe)

Kwamba hata vip ujapanga wewe si ndio
 
Back
Top Bottom