Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

We si unaona hadi Inonga aliamua amsindikize kabisa nje ili kuonyesha kuwa Mayele alikuwa mchumba tu mle😀.

Ooh morocco ,ooooh Mayele....ooooh Auchoo...oooh Djuma minduku tu wale hamna lolote.
Hii Morocco ya Magomeni ndio sijaielewa kabisa, next season wasirudie kosa kusajili wachezaji wenye majina mabaya wakidhani ndio indication ya uwezo
 
Maajabu hayaishi duniani! Yaani Klabu inayoshika " Namba 5 kwa ubora Afrika" inafurahia sare!!
Hicho kikosi cha kuinyanyasa Simba Sc kama mlivyokuwa mnatamba kiko wapi? Shida yenu mnaaminishwa ujinga😅.

Halafu aliyeponea chupuchupu ni UTOPOLO, simba hakuwa na presha kabisa na hii mechi.
 
Sasa yanga kwa simbaaaa hii mmeshindwa kutuchapa
Kwani waliokuwa wanachapwa na yanga ilikuwa ni Simba ya aina gani? Mbona unauwezo mdogo sana wa kufikirika? Yaani mashabiki wa Simba imefikia hatua ya kuingia uwanjani kama underdog siku hizi.
 
Kuweka ushabiki pembeni yanga wamecheza mpira mzuri na wamemiliki mpira muda mrefu zaid.
Hongera kwao, Hongera kwa simba pia mmejitahidi kuziwia magoli.
👇👇
Jinsi simba wanavyotoka uwanjani

FB_IMG_16390512096529670.jpg
 
Duuhhh...kuna kipindi nilikuwa nasema na mpira uishe tu,ile second half ilikuwa ngumu kwa Yanga yangu [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Huwezi fananisha kamwe onyango hafiki hata leo ajafanya ku kaba ni vile mayele anateleza anachukua mpira sio kukaba vile
Sasa anateleza kwani ile pitch imewekwa majani ya mlenda pale?
 
Back
Top Bottom