Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Ila huyu Mugalu huyu na Boco. Aaagh wacha nikae kimya
 
Hivi Matola toka awe kocha msaidizi Simba ana miaka mingapi? na ni kitu gani kinachofanya Simba wawe wana renew mkataba wake kila ukiisha? ni mazoea au performance?

Naona Matola anatakiwa kuondoka Simba msimu huu ukiisha, tunajidumaza kwa mazoea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…