Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Rafiki naona imani zinaanza kuwatoka munahamia kwenye shirki. 😂😂😂

Kubalini tu wachezaji wenu utulivu hawana wakifika kwenye 18.
Bado unacheka au umenuna tayari 🤣🤣

Nyie wenye utulivu jana mlishindwa kupata goli 🤣🤣

Tulia hivo hivo usikimbie hapa.
 
Mi nishabiki wa simba na leo nasema ukweli bila kuhofia kama nina mapenzi na club yangu lakini ukweli lazima niseme

kiukweli lile goli la chama ni goli HALALI kabisa

Eeeeh nawaona mlivyokunja sura mlitaka niseme kama mlivyo zoea?
 
Bado unacheka au umenuna tayari 🤣🤣

Nyie wenye utulivu jana mlishindwa kupata goli 🤣🤣

Tulia hivo hivo usikimbie hapa.
Hahahaaa. Siezi nuna sababu mumewashambulia vya kutosha na nilijua ni lazima mutapata bao.

Tungetengeneza nafasi nyingi kama hizi zenu basi ni dhahiri tungepata bao za kutosha sio hii papatu papatu. 🤣🤣🤣

Sinaga kawaida hiyo rafiki. Nipo.
 
Back
Top Bottom