Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua nasubiri comment yenye huu ukweli kutoka kwa shabiki mwenzangu wa Simba.Bado confidence ya game hatuna hasa kwenye finishing
Kuna mtaalam nadhani anaye pembeni. Goli ni halali kabisa kwakuwa kuna mtu wa Mbeya Kwanza aliugusa.Mpenja hivi ana nini leo, mbona hakuwaga hivi?
CCM imeshamuharibu huyo jamaaMpenja hivi ana nini leo, mbona hakuwaga hivi?
Mo ameshaachana na huo upuuzi. Ameona anapoteza hela kuyabeba majitu yasiyobebeka.Namuunga mkono kwa kuya-unfollow.Wana Simba msihofu Mo ameshalipia penati
Waache hao wana makasiriko.Mchezaji wa mbeya kwanza aliugusa kwanza mpira ķabla ya kagere. Clear goal.Mnaobisha bora mshabikie rede.
Labda kusonga ugaliNaipenda Simba lakini kwa dizaini hii kwa staili hii dah hapana tarehe 13 kuna game tena sasa ile wanaochezeaha sio wabongo wajipange kiukweli kabisa wajipange kama wanataka kusonga mbele kweli.
Naona aliyekushikia akili amekurudishiaGame kama hii inatakiwa 3-0 saa nyingi sa hizi watu tunawaza majukumu ya kesho, ila kwa hii Simba uuuh...
Huo hata sijali, tena kwa mpira huu bora tupunguziwe majukumu hii timu imekuwa butu sana.Naipenda Simba lakini kwa dizaini hii kwa staili hii dah hapana tarehe 13 kuna game tena sasa ile wanaochezeaha sio wabongo wajipange kiukweli kabisa wajipange kama wanataka kusonga mbele kweli.
Kama nakuona unavyo teseka vile.🤣🤣Ifikie hatua ukweli usemwe Mkuu. 😀
[emoji23][emoji1787]Mi nishabiki wa simba na leo nasema ukweli bila kuhofia kama nina mapenzi na club yangu lakini ukweli lazima niseme
kiukweli lile goli la chama ni goli HALALI kabisa
Eeeeh nawaona mlivyokunja sura mlitaka niseme kama mlivyo zoea?
Mbeya city na simba wanafanana sema mmoja anabebwa kuondoa aibu ila hawana tofauti mkuuJamani jamani yashakuwa hayo! Vitimu vya kipumbavu? Umetukosea sana Wana Mbeya timu yetu inapambana kujilinda. Niweke wazi kwamba Mimi ni shabiki wa Simba natamani sana Simba ishinde. Mbeya kwanza ni timu ya nyumbani naziona juhudi zao wakijilinda wanapambana haswa, nasikitika kuona inaitwa ya kipumbavu[emoji2958][emoji2958][emoji2958]