Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

We mchawi upo? Simba wewe, Yanga wewe umekuwa popo?

Wewe kandambili wacha kujitesa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mi ni mikia mwenzako mkuu, tofauti yangu mimi na ww ni kuwa nimekuwa mkweli kupitiliza kiasi ambacho unaniona km vile niko utopoloni
 
Sidanganyiki, wewe ni Simba nusu Yanga nusu, ila unaipenda zaidi Yanga ndio inakufaa, Simba unazuga kuipenda ila unaichukia kimoyomoyo
 
We ubingwa ulikuwa wa michongo lini umewahi sikia timu Ina viporo 10+

Ulitengenezewa mazingira sasa ni ngoma draw ona unavyo tolewa jasho na vitimu vya kipumbavu
Jamani jamani yashakuwa hayo! Vitimu vya kipumbavu? Umetukosea sana Wana Mbeya timu yetu inapambana kujilinda. Niweke wazi kwamba Mimi ni shabiki wa Simba natamani sana Simba ishinde. Mbeya kwanza ni timu ya nyumbani naziona juhudi zao wakijilinda wanapambana haswa, nasikitika kuona inaitwa ya kipumbavu[emoji2958][emoji2958][emoji2958]
 
Hivi Matola toka awe kocha msaidizi Simba ana miaka mingapi? na ni kitu gani kinachofanya Simba wawe wana renew mkataba wake kila ukiisha? ni mazoea au performance?

Naona Matola anatakiwa kuondoka Simba msimu huu ukiisha, tunajidumaza kwa mazoea tu.
Upo sahihi. Itakuwa ana shida
 
Back
Top Bottom