mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mi ni mikia mwenzako mkuu, tofauti yangu mimi na ww ni kuwa nimekuwa mkweli kupitiliza kiasi ambacho unaniona km vile niko utopoloniWe mchawi upo? Simba wewe, Yanga wewe umekuwa popo?
Wewe kandambili wacha kujitesa.
Bongo hamna ligi mkuu.Kinachoendelea hapa hata sielewi japo tushinde tu ili kupunguza kelele cha Chura, ngoja nijiandae na Afcon final
Sheria imebadilika sana hapo. Mpira umeguswa na back wa Mbeya Kwanza na kuua Offside automaticallyHata Kama ni la offside, Ila ni goli
Mmeanza eeh bebwenj na nyie sasaIla kusema ukweli refa katubeba
Chama letu la Simba uwezo mdogo sana, imebakia ushindi wa mchongo km huu na wa bahati nasibuWe mchawi upo? Simba wewe, Yanga wewe umekuwa popo?
Wewe kandambili wacha kujitesa.
Dakika 5 zimeongezwa
Sidanganyiki, wewe ni Simba nusu Yanga nusu, ila unaipenda zaidi Yanga ndio inakufaa, Simba unazuga kuipenda ila unaichukia kimoyomoyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mi ni mikia mwenzako mkuu, tofauti yangu mimi na ww ni kuwa nimekuwa mkweli kupitiliza kiasi ambacho unaniona km vile niko utopoloni
We nenda kwenye siasa tu kule huku tuachia sisi hukuwezi mkuu.Simba hawawezi kubeba kombe mwaka huu.
Jamani jamani yashakuwa hayo! Vitimu vya kipumbavu? Umetukosea sana Wana Mbeya timu yetu inapambana kujilinda. Niweke wazi kwamba Mimi ni shabiki wa Simba natamani sana Simba ishinde. Mbeya kwanza ni timu ya nyumbani naziona juhudi zao wakijilinda wanapambana haswa, nasikitika kuona inaitwa ya kipumbavu[emoji2958][emoji2958][emoji2958]We ubingwa ulikuwa wa michongo lini umewahi sikia timu Ina viporo 10+
Ulitengenezewa mazingira sasa ni ngoma draw ona unavyo tolewa jasho na vitimu vya kipumbavu
Upo sahihi. Itakuwa ana shidaHivi Matola toka awe kocha msaidizi Simba ana miaka mingapi? na ni kitu gani kinachofanya Simba wawe wana renew mkataba wake kila ukiisha? ni mazoea au performance?
Naona Matola anatakiwa kuondoka Simba msimu huu ukiisha, tunajidumaza kwa mazoea tu.