Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Mchezaji wa mbeya kwanza aliugusa kwanza mpira ķabla ya kagere. Clear goal.Mnaobisha bora mshabikie rede.
 
Game kama hii inatakiwa 3-0 saa nyingi sa hizi watu tunawaza majukumu ya kesho, ila kwa hii Simba uuuh...
 
Niambie alichofanya Mugalu...
Kuna haja ya kuwa hata sub...?
 
Naipenda Simba lakini kwa dizaini hii kwa staili hii dah hapana tarehe 13 kuna game tena sasa ile wanaochezeaha sio wabongo wajipange kiukweli kabisa wajipange kama wanataka kusonga mbele kweli.
 
Miamala miamala miamala ndio maana mnapenda viporo sababu mnakuwa na uhakika fungu lipo.

Ila ndio mpira wetu,juzi tuta leo offside kesho red card is loading.....
 
Nani kafundisha style ya back pass Simba? Timu inakuwa kwenye move halafu anatokea mchezaji badala ya kutafuta mbinu za kupita. Linapiga back pass na kuharibu move. Wachezaji hawafungui, macho yao mafupi. Kifupi timu inacheza hovyo
 
Naipenda Simba lakini kwa dizaini hii kwa staili hii dah hapana tarehe 13 kuna game tena sasa ile wanaochezeaha sio wabongo wajipange kiukweli kabisa wajipange kama wanataka kusonga mbele kweli.
Labda kusonga ugali
 
Naipenda Simba lakini kwa dizaini hii kwa staili hii dah hapana tarehe 13 kuna game tena sasa ile wanaochezeaha sio wabongo wajipange kiukweli kabisa wajipange kama wanataka kusonga mbele kweli.
Huo hata sijali, tena kwa mpira huu bora tupunguziwe majukumu hii timu imekuwa butu sana.
 
Mi nishabiki wa simba na leo nasema ukweli bila kuhofia kama nina mapenzi na club yangu lakini ukweli lazima niseme

kiukweli lile goli la chama ni goli HALALI kabisa

Eeeeh nawaona mlivyokunja sura mlitaka niseme kama mlivyo zoea?
[emoji23][emoji1787]
 
Mbeya city na simba wanafanana sema mmoja anabebwa kuondoa aibu ila hawana tofauti mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…