Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Ally mayai naye ana perpective kama mimi, simba haiwezi kuweka matumaini kupata matokeo kwa kupitusha mipira kati kati

The only thing wanweza kufaidika ni kuhakikisha wana penetrate mipira pembeni, pale kati bwalya naye sijui anapaamini vipi wakati basically mbeya kwanza ndo wame dominate kwa wingi
 
We ndo huelewi hata kinqchoendelea

pablo yuko kutumikia adhabu na hii ni mechi yake ya pili saizi hajatia mkono na hata bench hayupo anakaa kwa mashabiki

Mshakalili kila timu ikipata matokeo mabaya lawama zinaenda kwa pablo hiyo yote kwa ajili ya ku criticize CV yake, sasa hizo lawama kama wakumpa, mpe matola
Ni adhabu ya uwanjani tu, kwani kikosi anapanga matola au Pablo, huoni hata sub hua anapiga Simu?
 
Wachezaji simba wote wanacheza kwa mawazo ya matokeo...
Wanaacha ufundi...kila mtu anataka kufanya jambo.
Simba itengeneze nafasi kupitia wings ..
 
M
We ndo huelewi hata kinqchoendelea

pablo yuko kutumikia adhabu na hii ni mechi yake ya pili saizi hajatia mkono na hata bench hayupo anakaa kwa mashabiki

Mshakalili kila timu ikipata matokeo mabaya lawama zinaenda kwa pablo hiyo yote kwa ajili ya ku criticize CV yake, sasa hizo lawama kama wakumpa, mpe matola
Mechi ya 3 na ya mwisho anzia ile mlicheza na watoto wa sekondari dar sec.school njoo ya juzi mwamuzi akatoa penati ya mchongo na prison maliza na hii sijui atatoa red card ama penati ngoja tusubiri
 
Umeandika hivi shabaha yako ni nini?
 
Ally mayai naye ana perpective kama mimi, simba haiwezi kuweka matumaini kupata matokeo kwa kupitusha mipira kati kati

The only thing wanweza kufaidika ni kuhakikisha wana penetrate mipira pembeni, pale kati bwalya naye sijui anapaamini vipi wakati basically mbeya kwanza ndo wame dominate kwa wingi
Simba hawana plan B, game nyingi wanacheza same style sijui tuna makocha wa aina gani?
 
Back
Top Bottom