Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Kwani simba wameziba macho na masikio kwa Mugalu na Bocco
 
Cha ajabu mipira ukifika kwenye box huoni mtu wa kupiga rebound! Tactical failure
 
Goli kipa wa mbeya kwanza kapewa kadi ya njano kwa kuchelewesha muda kizembe na ndio kadi ya kwanza tangu mchezo uanze
 
Ila ikitokea mmesuluhu na hii timu ya nyumbani ipo haja ya timu yenu kusukwa upya. 😀😀😀

Sababu si kwa kupoteza minafasi yote hii mana mpaka natamani mungetuazima Mayele aje awafungie. 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom