Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Kama Morison kapiga Mtu kiwiko na Hakuna Kadi ni maajabu ya maamuzi.
 
Bocco na Kibu Denis Wana ball controls za hovyo
 
Kwanini mwamedi atukimbie baada ya kuwauza wale? Atuachie timu yetu
Kama ameshakimbia, unataka awaachie nini sasa? Kuna haja ya kuweka viwango vya elimu kama sharti la kuwa mshabiki
 
Boko anawahonga nini makocha na viongozi wa Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…