Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3?

Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa nje kwa Muda Mrefu sana. Kwa sasa Simba Ina Majeruhi wengi ambao Watakosekana Kwenye Mtanange huu, Akiwepo Kiungo wa kimataifa Tadeo Lwanga, Sadio, Sokho, Mzamiru Yasini, Chris Mugallu.

Tuwe hapa Kuanzia Sasa Hadi kipute hiki kitakavyo Malizika.

====

Mpira ni mapumziko na milango ni migumu kwa pande zote, Simba 0-0 Namungo

51' Makame anapewa kadi nyekundu baada ya kumchezea ndivyo sivyo mchezaji wa Simba, Shomari Kapombe

53' Namungo wanafanya mabadiliko, Molinga anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Halifa

60' Ibrahim Ajib anaingia kuchukua nafasi ya Benard Morrison

79' Mlinda mlango wa Namungo yuko chini baada ya kutoa mpira wa Bwalya na kufikia mgongo, Simba 0-0 Namungo

90+4' MK 14 anabadilisha matokeo dakika ya mwisho ya mchezo, Simba 1-0 Namungo
 
Ingekuwa vizuri ingechezeshwa kikosi cha zamani,kwa wachezaji wa kigeni kagere,Mugalu ,Tadeo ,Bwalya ,Morison ,Hinoga ndo wachezeshwe maana wana chemistry ya zamani ,hao magarasa mapya mengine waliyoleta yakae nje au yarudishwe kwao
 
kila la kheri Namungo,, tomba vizuri hao makolos.. Hawana mpira hao sasa
 
Back
Top Bottom