Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Vibe la mitaa baada ya ushindi
Your browser is not able to display this video.
 
Michezo ya kiafrica ikoje? Kocha wako Nabi kaifikisha wapi utopolo?
 
Lwanga ni kuni za kuivishia gongo waarabu wamemkoma
 
Waarabu wakataka kusususia mechi

Refa akawafata akawaambia Enhee mnataka kususa kwasababu gani BERAKNE "ooh unawapendelea hauchezeshi kwa fair"

Refa "Nyie ebu skilizeni As Vita alikufa hapa hapa kwa mkapa goli 2"

Berkane wakashangaa huh!

Akasema "sio hao tu, Al Ahly nao walishakufa hapa hapa kwa mkapa"

Wakaguna mmmh! Oya mazee ebu tuingie tu kumbe tukifungwa haiwezi kuwa aibu maana kama hao vigogo walipotea sisi akina nani
 
hahahaha kuna kchambuz u tv eti ya manula na mshambuliaj ni clear penat
 
Mayele mayele

Mmesajili wakimbizi wamekuja kujifcha afu mnapiga kelele mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…