Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyefunga goli hakuwa offside, it was supposed to be a goalWashika vibendera wanatubeba leo hii ilikua kamba na ile pia ilikua penalty
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Aisee! Aliyefunga wala hakuwa offside kabisa na waliokuwa offside hata hawajagusa mpira. [emoji1787][emoji1787] Ila refa chap! OffsidePale hakuna off side yoyote.
Wewe unapenda kudhalilishwa? Ni halali yao tu, maana wamepigiwa pira la hatari.Berkane ni kama hawataki kuendelea na mechi
Muhimu hao USGN wakija hapa wasitoke salama kabisa.Wewe unapenda kudhalilishwa? Ni halali yao tu, maana wamepigiwa pira la hatari.
Halafu sasa hawa hawafiki mbali, wakienda kule kwa USGN tulikotoa sare sisi ni lazima wapigwe tu .
Wakati Yanga wanawapokea Berkene, Simba walienda kuwapokea waamuzi.Aisee! Aliyefunga wala hakuwa offside kabisa na waliokuwa offside hata hawajagusa mpira. [emoji1787][emoji1787] Ila refa chap! Offside