Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Goli la kusawazisha lingepatikana mapema tungewapiga hao warusha mateke, hii pointi moja ni sawa na ushindi itabidi Nyoni awe anacheza kila mechi ikitokea penati apige.


Ile penati jamaa alipoteza malengo. Lakini ndio mpira tuangalie mechi zijazo
 
Yap ipo nafikiri mshika kibendera hakua makini au alihofia.Mimi ni simba damu
Kosa la kibendera ni kwenda mwisho kabisa ya uwanja halafu anategemea kuamua offside. Vinginevyo ni kosa la kibinadamu.
 
hapo nilikua nazungumzia bado moja goli sio dakika

kwa situation ya pale baada ya kusawazisha simba alikuwa anahitaji sekunde walau tatu tu kuweza kuongeza bao la pili
Muda mlikuwa wapi, tena hilo goli ni off side.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…