ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
-
- #281
Tunapata wakati mgumu sana kufunga goli,mashambuli hayamalizwi vizuriUsajili wanahitaji wale wanaocheza hapa hapa local [emoji3][emoji3]
Nenda kamalizie kiporo ulaleMlevi kamwangukia mwenzake
Yaani hii Simba pamoja na hii hali hawaonyeshi hata dalili ya usajili ?
Mpira kama gwaride, hauna ufundi ni kubutua tuNenda kamalizie kiporo ulale
Olivier GiroudAsante kwa Kuingia Mugalu tunagoli lake hapo.
Huoni mapungufu?Usajiri wa Nini? Sakho Kashika Kasi [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] utopolo hawaaminiMpira kama gwaride, hauna ufundi ni kubutua tu
Una kalamu hapo mkuu? Me Nina mate Tu nataka nibadilishe ubao wa matangazo..mbili bila bila penalti wala red cardLabda kwa penati ama red card
Ngapi ngapi kwani mrembo..mnaruka ruka tu..hii ni draw.